decent girl
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 302
- 139
- Thread starter
- #21
Ehuuuuu mapenzi utumwa
tena ni zaidi ya utumwa Darling! rather niwe single
Ehuuuuu mapenzi utumwa
Uyo sio wako tena ukichelewa utakumbuka shuka kunakucha
amini nakwambia baada ya oct 25 atarudi kwenye hali yake ya kawaida............😛eep:
Asante kwa ushauri my dear
Polee mumy huyo tiyari kesha pata kiburudisho kipya. Shukuru Mung toa sadaka kanisan omba Mungu akupe aman anza maisha mapyaa. Mungu no mwaminifu utamsahau na life itasonga mbelee
Pouwa mammy,you welcome.
Uyo sio wako tena ukizubaa utakumbuka shuka kunakucha
Pole, huyo anakucheza. Shukuru Mungu umeyaona dalili mapema hata wewe mlenge maybe atawashwa ajirudishe.
Habari wana jukwaa la MMU,
Mimi nina mpenzi nimedumu nae kwa takribani mwaka mmoja sasa, ila siku za hivi karibuni mwenzangu kabadilika sana kupita kawaida.
Majuzi nimeenda kwake lakini hakuonyesha kujali uwepo wangu na ukizingatia ni miezi miwili ilipita hatujaonana. lakini pia ndani amani hakuna unachomsemesha ndo anachojibu.
Anaweza akakaa kimya siku nzima mpaka uanze wewe kuongea, yeye yuko busy na laptop na simu basi kiukweli nakosa amani ya moyo na nikimuuliza " what's wrong mbona umebadirika hivyo?" anajibu," Nothing".
Mwanzoni tulikuwa tukishikiana simu lakini yeye ya kwake ametia password kila kona.yaani mpaka najiuliza nitakaa maisha haya mpaka lini nakosa amani ya moyo kabisa.
Naombeni ushauri wenu
Asanteni
Aisee pole sana. Kuna umuhimu watu waanzishe rehabilitation centers through groups, whether on whatsapp or wherever, msaidiane. Kwa sababu matatizo mengi yanafanana.
pole sana mapenzi yanatesa sanaaa utapata chaguo lakoo
Una miaka mingapi? huyo ndio mwanamme wako wa kwanza? nini kikubwa utakosa kwake kwamfano ukiachana nae ambacho kwa wengine huwezi kupata?
Kwa upeo wako unahisi vituko anavyo kufanyia ndio anavyotakiwa kufanyiwa mtu na mpenzi wake?
Soma alama za nyakati
nimeamua kukaa kimya Mkuu hope nitamsahau