Mchumba wangu ana karama ya unabii, ananitisha!

Ni kwasababu sio kila mtu anakuwa na karama hiyo. Ni mpaka Mungu mwenyewe akuchague.
Mkuu hivyo vitu kwa wenzetu huko wananafundisha kabisa jinsi ya kuwa na uwezo kama huo wa kupata maono na wala hawatumii dawa wala ushirikina, ni sawa na ndoto ambazo tunaota huwa zina maono lakini wala haiitajiki kuwa mtu spesho uliyochaguliwa ili uweze kuota ndoto na hilo suala ni hivyo hivyo tu.

Na ndio maana sasa tuna hawa manabii ambao tunaona wana maono.
 
"Safari yetu", wewe na nani?

Kwa comment yako ni dhahiri kwamba mimi na wewe tunasafiri kwenye ulimwengu tofauti. Siwezi kusafiri na wewe kwenye ulimwengu mmoja, kwahiyo kama ni kuchelewa utachelewa wewe, usinilishe maneno mdomoni mkuu.

Otherwise, haya ni mawazo yako, na hayanabudi kuheshimiwa, ingawa huu sio uhalisia wangu when it comes to my profession.
Safari ya maendeleo ya Tanzania .

Wakili unayeamini unabii badala ya facts utauza kesi kwa sababu mchumba wako kaoteshwa unabii, hutufai.
 
Hili tangazo lipo kimkakati sana anyway naomba niwasiliane nae kwa simu hata kwa google meet nna mengi ya kumsimulia.
 
Mkuu hivyo vitu kwa wenzetu huko wananafundisha kabisa jinsi ya kuwa na uwezo kama huo wa kupata maono na wala hawatumii dawa wala ushirikina, ni sawa na ndoto ambazo tunaota huwa zina maono lakini wala haiitajiki kuwa mtu spesho uliyochaguliwa ili uweze kuota ndoto na hilo suala ni hivyo hivyo tu.

Na ndio maana sasa tuna hawa manabii ambao tunaona wana maono.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom