Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,049
- 113,971
Wakili punguza kula hovyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakili punguza kula hovyo
Ccm itatawala kwa sababu ndio mpango wa Mungu itawale!!Kinywaji ni complex term, ndani yake Kuna maji, pombe, juice n.k.
Akili yako mbovu ndio imekufanya uwaze kwamba kinywaji nilichokuwa nakunywa ni pombe.
Kwa akili hizi ni lazima CCM iendelee kutawala.
Mungu akuhurumie!
[emoji23][emoji23][emoji23]Tunakagua bidhaa kwanza kabla ya kuinunua,usije ukajilaumu.
[emoji28][emoji28]Wakili punguza kula hovyo
Asante sana mkuu kwa maono haya...Ccm itatawala kwa sababu ndio mpango wa Mungu itawale!!
Kuhusu sumu ni kwamba Mungu alikua anakuonyesha umepata mke Bora na utatakiwa kumsikiliza!!
Yaani Kila move unayofanya lazima umwambie aombe uone mungu anamwambia nini kuhusu hizo mishe zako!!
Kuna kazi ukizifanya hupaswi kuwa mwepesi kukubali vijiofa ofa na kula bila kujali usalama wako. Tambua hilo mkuu.[emoji28][emoji28]
Sawa mkuu, nimeichukua hii.Kuna kazi ukizifanya hupaswi kuwa mwepesi kukubali vijiofa ofa na kula bila kujali usalama wako. Tambua hilo mkuu.
Wangu pia alikua hivi ila baada ya kumfundisha na kumnogesha minyanduano saizi hamna kitu labda utokee ugomvi afunge na kusali ndio huo uwezo unarudi ila ikitawala aman akili inakua kwenye dudu tuWakuu habarini za wakati huu...
Niliwahi kuleta Uzi humu kuhusu mchumba wangu ambaye ni Mcha Mungu, bikira, mpole, mkarimu, mzuri n.k.
Nimegundua kwamba huyu mwanamke ana karama ya unabii pia (muonaji). Zamani manabii waliitwa waonaji.
Kwanini nimefikia hii conclusion? Mjomba wangu alikuwa anaumwa, yaani kaka yake mama yangu. Siku Moja kabla ya kifo cha mjomba wangu, mchumba wangu akanipigia simu kunimbia anaona huzuni KUBWA Kwa mama yangu, kesho yake mjomba akafariki, kweli mama aliumia sana!
Mimi ni Wakili, nilikuwa na kesi Tanga Jana, kabla sijaondoka akanipigia simu kuniambia anaona vita KUBWA kwenye hiyo kesi, na ananiona Niko hospitalini! Baada ya kesi, ule upande wa pili wakaniomba tuonane nje ya Mahakama nikiwa na mteja wangu ili tufute kesi tuyazungumze, kweli tukaenda kuonana nao, nikawekewa sumu kwenye kinywaji changu, nikapelekwa hospitalini kweli na nikalazwa, Sasa hivi ndio wameni-discharge.
Hayo ni machache tu kati ya mengi. Ama kweli, ukimtanguliza MUNGU mbele HUWEZI kuikataa taasisi ya NDOA. NDOA ni baraka.
Huyu nikimuoa inabidi niwe makini sana [emoji28]
Muwe na jioni njema.
[emoji28][emoji28]Wangu pia alikua hivi ila baada ya kumfundisha na kumnogesha minyanduano saizi hamna kitu labda utokee ugomvi afunge na kusali ndio huo uwezo unarudi ila ikitawala aman akili inakua kwenye dudu tu
Hongera sana mkuu...Hiyo ni karam ya kawaida sana,mimi ninayo hiyo pia,pia naweza kufasiri ndoto,ni vitu vya kawaida sana mkuu..ila mpak uwe muombaji ndo vinadhihirika
kama umeokoka, Mungu akubariki. kwa waliookoka hiyo ni jambo la kawaida, Mungu hua anagawa vipawa, na Roho Mtakatifu huwa anaongea kwa namna mbalimbali, anaongea na huyo dada pia. binafsi wakati niko misri, mke wangu alikuwa mtu wa imani sana, hadi leo ni mtu wa imani. ilikuwa hata nikicheat, anajua, anaonyeshwa kwenye ndoto. kuna siku nimesafiri nikafanya ujinga, niliporudi akaniambia ameota ndoto ambayo anaona ni ya kimungu, akaeleza mazingira yooote sawasawa na niliyokuwa, na jinsi mwanamke yule alivyonilaghai, hadi kiasi cha pesa alfu hamsini alichochukua.Nimeokoka zamani sana mkuu.
Kwa mawakili kama hawa wanaoamini unabii, safari yetu ndefu.Wakuu habarini za wakati huu...
Niliwahi kuleta Uzi humu kuhusu mchumba wangu ambaye ni Mcha Mungu, bikira, mpole, mkarimu, mzuri n.k.
Nimegundua kwamba huyu mwanamke ana karama ya unabii pia (muonaji). Zamani manabii waliitwa waonaji.
Kwanini nimefikia hii conclusion? Mjomba wangu alikuwa anaumwa, yaani kaka yake mama yangu. Siku Moja kabla ya kifo cha mjomba wangu, mchumba wangu akanipigia simu kunimbia anaona huzuni KUBWA Kwa mama yangu, kesho yake mjomba akafariki, kweli mama aliumia sana!
Mimi ni Wakili, nilikuwa na kesi Tanga Jana, kabla sijaondoka akanipigia simu kuniambia anaona vita KUBWA kwenye hiyo kesi, na ananiona Niko hospitalini! Baada ya kesi, ule upande wa pili wakaniomba tuonane nje ya Mahakama nikiwa na mteja wangu ili tufute kesi tuyazungumze, kweli tukaenda kuonana nao, nikawekewa sumu kwenye kinywaji changu, nikapelekwa hospitalini kweli na nikalazwa, Sasa hivi ndio wameni-discharge.
Hayo ni machache tu kati ya mengi. Ama kweli, ukimtanguliza MUNGU mbele HUWEZI kuikataa taasisi ya NDOA. NDOA ni baraka.
Huyu nikimuoa inabidi niwe makini sana [emoji28]
Muwe na jioni njema.
Ila hakuona kama mchumba wake atanyweshwa sumu.Ukichepuka tu atakuona unavyo GEGENDAA
Kipi cha ajabu hapo mkuu hadi awe lulu?kuna mambo mawili, ni mchumba wako maana yake ni girlfriend huwa mnafanya uasherati pamoja au ni mchumba yule aliyeokoka ambaye mnasubiri hadi ndoa ndio mshirikiane tendo? kama hajaokoka na huwa mnafanay dhambi ya uasherati, pole sana, upo na muonaji ambaye ni sawa tu na mganga wa kienyeji, kwasababu Roho wa Mungu huwa hakai mahali pachafu penye uzinzi na uasherati. wapo waonaji wengi tu wenye mapepo ya kuona na kutabiri, wengine ni wajukuu wa waganga wa kienyeji hivyo wanarithishwa mikoba tangu utotoni, wengine mashetani ya ukoo yamewavamia, watu wa aina hiyo nawajua wengi sana na wanaweza kukuambia kitu ambacho ni cha kweli kitatokea. kwahiyo kama hamjaokoka, ni kwamba unashirikiana na mtu mwenye mapepo na yatakuingia na wewe kwasababu wewe na yeye ni mwili mmoja kutokana na mnavyoingiliana. ila kama ameokoka, na wewe umeokoka, mshikilie huyo awe mkeo. ni lulu hao.