kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Ukitaka mwanamke mwaminifu tafuta 'polygon!'Mwanamke ambaye havutii kabisa wanaume na hivyo kuepuka kushawishiwa na wakware.Huyo ndo atakuwa wako pekee.Hakuna mwanamke mrembo anayeweza kuwa mwaminifu usije ukajidanganya hata kidogo!Wapo wanaume wana ushawishi mkubwa na hawajawahi kukataliwa na mwanamke yeyote!Kama huna uwezo wa kulea mwache lakini kama unao,msamehe na uendelee naye.Hawa wanaokwambia piga chini waulize iwapo wana uhakika na wake zao ama wapenzi wao kuwa ni waaminifu 100%!Kitendo cha kupata ujauzito ni cha dk tu!Tena wakati mwanamke yuko katika kipindi hiki hata misimamo yake inaweza kuyumbishwa kirahisi(anakuwa restless)hadi apate haki yake.Kama unaogopa ku share mapenzi na wakware,kuwa mujahidina alafu mkeo awe anajifunika gubi gubi.After all wengi wana majini na huwa wanayaogopa kwa hiyo hawawezi ku cheat.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums