Mchumba wangu ameenda CCP Moshi

Jipunguzie shida zisizo za lazima, tafuta mwingine
 
Kwenye hili la Upolisi Hakukusikiliza japo wewe una mshahara mzuri tuu wakuweza kumudu mahitaji yake hata pia ya familia yake kwa kiasi furani lakini bado unamuita ni msikivu!!!!!.

Inaonekana bado hujawajua wanawake Vizuri hasa hawa Career women. Hiyo ni redflag na unaipuuzia kama ambavyo wanaume wengine wanaoteseka kwenye Ndoa zao hivi leo walipuuzia mambo kama haya huko nyuma.

Labda nikwambie tuu Her Career and then her Job are more important than you and your future marriage (if it will happen)
 
Tatizo la hizi kazi za ulinzi, hasa majeshi. Ni kizungumkuti kdg ktk mahusiano.

Kaka angu alikuaga na mchumba. Yule wizzo alikua anampenda sana broohz. Akapataga chance ya kuingia jeshini JWTZ. alivyorudi kutoka mafunzoni, kila kitu kuwahusu kiliishia hapo.

Ila namsifu yule wizzo, alimueleza wazi broohz aliyokutana nayo kulee, akamuambia ukweli haoni km anastahili kuwa nae, na mengine mengi siwezi eleza hapa. Kwa kifupi iliisha hivyo.

Nweiii, wee kuwa sambamba na huyo mdada, huenda mkafika mbali ktk safari yenu ya mapenzi, na mkafanikiwa pakubwa.

Kila la kheri kwenu.
 
Manyoya hapo, keshaliwa huyo si wako tena
Mbna kuna mademu wanamaliza mafunzo ya jkt ,polisi na wana bikra zao au hata kama sio bikra wakifika kule wanajitunza,,,,,,
Nb;kama manzi ana sura nzuri na shape hawa huwa wagumu kukaza
 
unaijua Depo au unasikia...??? Atagongwa sanaa...
Mzee ww una onekana unaongelea zile stori za mitaani,,,mm nimepita jkt tena miaka ile mafunzo yalikua magumu sana ila kuna mademu walikua wanawakazia wakuu wapo tayari kula kazi ngumu ila sio kujirahisisha kuvuliwa chupi
 
Vijana ni wajinga sna hawajui hata maana ya mapenzi na kujiweka mbele wao kama wao kazi yao ni kujali tu kisa demu analo takoπŸ€”
Wee mbna unajari pombee? Waache wenzio wajari msambwandaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
POLISI NI KAZI YA LAANA HUYU SIYO MKE.
 
Kwahy mdada anatakiwa akae nyumbani awe anasubiria mshahara wa mume? Ikiwa alikuwa ashatafuta nafasi na akapata? Aiache kwasababu gani? Na huyo kaka umeskia anaenda kusoma nje ya nchi, ikitokea akapata mchumba mwingine huko yy huyu wa huku atabakije?
 
ahsante sanaπŸ™
 
ahsante sanaπŸ™
Usijali broo Mimi Niko hapa TPS-MOSHI ,kuwa na amani kuruta hatombwi ovyo kama anajiheshimu ila kama yeye ndio anataka basi anaweza gongwa hata na kuruta mwenzake lakini kwa wakufunzi sio rahisi kwasababu tuna sheria Kari sana kama utakutwa unafanya mapenzi na kuruta utafukuzwa kazi hivyo sio rahisi kwa mkufunzi ku risk kazi kwa hicho kidemu chako
 
Wataonja wakufunzi wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…