Miss Judith
[h=2]Siku 30 Nzito za Maisha Yangu. ooh, Glory to God!!![/h] wapendwa,
niko chumani kwangu saa hizi na nahisi pumzi zinataka kukauka. nina mchanganyiko wa wasiwasi na matumaini, japo najiamini kwa hili ninalotarajia kulifanya, lakini tashwishi na mchecheto vinanizinga, nimeona niwashirikishe huenda nikapata tafu japo kidogo!!
ni kwamba baada ya siku 30 zijazo yaani jumatano ya tarehe 1 june 2011, nitamuarifu rasmi kijana mmoja kuwa nimemteua kuwa mchumba wangu!!!
maombi yenu wote tuweze kuvuka salama. mimi naanza maombi mazito mfululizo kumkabidhi Mungu siku hizi zote 30 (and beyond) aziratibu mwenyewe kwa kadiri ya wingi wa rehema na fadhili zake
Mungu awabariki sana
mpenzi wenu Miss Judith (Mrs mtarajiwa)
Wadau,
Mtakumbuka kuwa Miss Judith alitushirikisha kwenye maombi ya siku 30 za kumteua wa kuishi naye daima dumu.
Kwa mijibu wa mahesabu aliyojiwekea mwenyewe ilitakiwa by 01/june 2011 atushirikishe majibu!
Bahati mbaya sikuwepo majamvini siku hizo, hivi alileta feedback kuwa amefanikiwa kumwingiza tunduni huyo jamaa?
[/INDENT]
Laa Hasha!
Mimi nilioa muongo mzima uliopita!
Hii itawasidia baadhi ya bachela na sinia-bachela wa hapa ndani in case kama maombi yale hayakuzaa.
Dont tell me!paka jimy umenikumbusha mkuu....kweli tunasubiri feedback.......lakini pia hapo katikati ulitokea mushikeli mkubwa sana kati yake na familia ya upande wa pili( kwa mchumba)
Mnaishi jirani nini kamanda?paka jimy umenikumbusha mkuu....kweli tunasubiri feedback.......lakini pia hapo katikati ulitokea mushikeli mkubwa sana kati yake na familia ya upande wa pili( kwa mchumba)
Mnaishi jirani nini kamanda?
Aaaah is it too Late??!!!!!!:A S 12:
paka jimy umenikumbusha mkuu....kweli tunasubiri feedback.......lakini pia hapo katikati ulitokea mushikeli mkubwa sana kati yake na familia ya upande wa pili( kwa mchumba)
hehehehehe nimekusoma kiongozi!! kwa hiyo mambo ni valu valu hakuna cha mchumba wala nini? wazi wa msela walishtuka nini wakajua mwanao anata kuolewa badala ya kuoa? Isije kua kuna ndugu wa msela alipita hapa JF akaona akaenda kuwashtua madingi!!kaka nilikudokeza hii kitu...umesahau....