Bujibuji, kaka ako anaelewa fika mazingira ya kwenu maadili na destur zenu, kwanin hakumwambia kabla? Au nae ndo kama mwenzie tu! Lakin nae huyo dada lol! Angekua mzungu tungesema mgeni na mazingira ya huku, lkn kaamua kufanya vitimbwi tu ili mradi awachokoze, hata kama mazoea inamaana kashindwa hata kuvumilia siku mbili tatu za ukweni, lol! Basi si akavutie huko viwanja vya wazi, kuliko kukera wengne. Ingekua mim kiti ndo nipo hapo kwenu ningemchana live.