Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,381
Gonga shot za tanqueray.
Ngoja kwanza, maana Nilipania sana kulewa, nina vitu vimenighasi kwenye kazi zangu. Sijui wanayo hapa?
Gonga shot za tanqueray.
Huenda JF tuna walevi wengi LOL!!
Nikishajua tu manzi anakunywa hata Wine,napiga chini hapo hapo.
Pombe tamu..... Kama hupendi mwache ndoa isijekuwa ya karaha
Aaah wanaume wasokunywa wana matatizo bana
Hahaha! Kweli Mkuu? Hapa Nimekunywa safari kumi, sikuona kitu, Nimepiga nyagi ndogo, hola, nataka Niongeze nyingine.
Sijisikii kulewa kabisa.
Absolut vodka......drambuie.......sambuca.........hivi hizi zote nani anywe........?......bila kusahau Zanzi.......tena kuna ya chocolate siku hizi........
Umenivutia........upo wapi nije kukupa company........
Vere boring........sasa ndio nini.........anywe hata Ballantine single...........
Mvumilie mwenzio, atakuja kujirekebisha mbeleni.
Kwanini vijana mkuwa sio wavumilivu kwa wenza wenu????????
Vere boring........sasa ndio nini.........anywe hata Ballantine single...........
Hakuna kitu kibaya kama kufanya 'gamble' kwenye ndoa.
Unakubali mapungufu kwa kisingizio cha kuja kubadilika mbeleni.
Ndio maana ndoa nyingi hazidumu, maji yakifika shingoni mnakimbia ndoa.
Mimi sinywi pombe kabisa, mke wangu ni cha pombe kuliko breweries.
But i love her so much, akilewa ananitia genye tu 24 hrs.
Wanawake walevi wananivutia sana.
Ngoja kwanza, maana Nilipania sana kulewa, nina vitu vimenighasi kwenye kazi zangu. Sijui wanayo hapa?
Sasa......si ndio hiyo nilikua nasema.........
Weee!!! Acha kabisa kuongea, angekuwa mwanamke ndio kalalamika hapa tungelowa na povu,
Mngesema mvumilie, wanawake sio wavumilivu n,k kwa hyo na nyie vumilieni