Tanganyikana
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 1,160
- 364
Kwanza kwanini wewe hunywi pombe? Tuanzie hapo,
charty njoo uone
Utajua mwenyewe bana.
Ahhh ha a a a a a a a a.Kama anakunywa pombe,poa tu.. Ila kama ni mlevi..kimbiaaaaaaaaaa fasta
veepee mgiriki sijawahi kunywa wala kuvuta...haleluyah...
Aaah wanaume wasokunywa wana matatizo bana
Naam unaniita.... ahaa kumbe unamwita charty!
hahaahaa afu mambo yakuniita kwenye nyuzi za walevi stakiii valentina..teh niite nyuzi za pesa tu...hapa uwe unamuita miss chagga...!miss u:hug:
Teh unahamu ya kuitwa
Haimezeki hata kwa Castle Lager?.
Fanya maamuzi magumu; the early the better. kamwe maji na mafuta havichangamani.Mimi ni kijana ambaye natarajia kuoa karibuni but mchumba wangu tuna kama mwaka mmoja hivi ila tatizo ni mlevi na mimi situmii kabisa pombe na cha ajabu nilikuja kujua tayari tuko ndani ya mapenzi mpaka sijui nifanyeje.
Msaada please
me ni boy
Teh unahamu ya kuitwa