Mchumba ninayetarajia kumuoa ni mlevi, nifanyaje?

Mchumba ninayetarajia kumuoa ni mlevi, nifanyaje?

Mimi ni kijana ambaye natarajia kuoa karibuni but mchumba wangu tuna kama mwaka mmoja hivi ila tatizo ni mlevi na mimi situmii kabisa pombe na cha ajabu nilikuja kujua tayari tuko ndani ya mapenzi mpaka sijui nifanyeje.

Msaada please

Ndugu inaekekea unamtegemea huyu dada kwa kipato na maisha ya kawaida .. Vinginevyo hili siyo swali la kuuliza watu wakusaidie..
 
Sana. Ukute mmeenda sehemu bomba sana mko wawili tu kama beach hivi, bar fulani bomba isiyo na kelele, mnaongea yenu tu. Tena ukute mnaelewana, Dah! Raha sana!

Karibu bana mi nip nakunywa zangu konyagi na Zanzi nashushia pilau la Eid
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom