ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,278
- 129,656
Anko Elly tafadhali tena tafadhali sana bia haina shombo
Kwa vile unaipenda aunt Evelyn, kama huipendi ina shombo tena baya...hata kukuchumu mdomoni naahirisha!!!
Anko Elly tafadhali tena tafadhali sana bia haina shombo
Kwa vile unaipenda aunt Evelyn, kama huipendi ina shombo tena baya...hata kukuchumu mdomoni naahirisha!!!
Mtu asinywe hata bia jamani........?.......wayiii........
Ha ha ha haya banaHahaha! Ni mchanganyiko!
Sawa ila bia haina shombo anko, shombo anayo samaki
af nyie wanaume msiokunywa mnakuaga na unoko
Asante. Mimi nipo bar toka asubuhi, nashangaa silewi, sijui kwanini pombe za leo hazisomi?
Sawa ila bia haina shombo anko, shombo anayo samaki
af nyie wanaume msiokunywa mnakuaga na unoko
Unoko gani tena jamani...
Unoko gani tena jamani...
Kasema mchumba ake 'mlevi' kwa hapo hata mimi ninamshauri ajifikirie mara mbili!!!
Utajua mwenyewe bana.
Ukiona unakunywa kilevi kwa muda mrefu tu kisha ukamuambia mtu kua unajiona unakunywa tu na hulewi ujue umeshalewa.
Hahaha! Kweli Mkuu? Hapa Nimekunywa safari kumi, sikuona kitu, Nimepiga nyagi ndogo, hola, nataka Niongeze nyingine.
Sijisikii kulewa kabisa.
Wanaume asiye kunywa pombe hakawii ku kukata stimu