Arii riiiii riiiiiiiiiii....kwa hiyo mdogo wangu umefit vigezo?Dada ushapata shemeji andaa bridal shower
Pooooole!nimelia sana
NjooAsante Mungu kwa kusikia kilio changu! Ama kwa hakika tatizo langu limepata suluhisho🙏🏽
Mke wangu mpenzi mtarajiwa wala usiogope maana NAFASI bado ipo wazi kwa 100%Asante Mungu kwa kusikia kilio changu! Ama kwa hakika tatizo langu limepata suluhisho🙏🏽
Basi huna shida wewe.Naona aibu🫣