Mchumba kutoka moshi

unataka kuoa mchaga???? poleeeeeeeeeeeeeee....................... hawana mapenzi zaidi ya pesa........ UTAKUJA KUNISIMULIA!!!!


We nawe Pascal?....Mbona wanaolewa kama ni kweli hawana mapenzi ya kweli? sawa wanapenda pesa lakini si ndo maisha yenyewe?? Wachagga safi sana kwa kufocus their future.
Na huyo msichana kweli hadanganyiki. Tena naomba akomae hivyohivyo mpaka apaone kwanza pango la jamaa.
 
Anaogopa kwenda kuish pangoni wakati kwao kuna nyumba! Hahaha! Natania....the real thng hapa ni kuwa wanawake twapenda wanaume ambao wanajiamini, wanajikubali sa km unaogopa kumpeleka kwenu uko na hitilafu pahala....unaogopa.....!? Mpeleke bhana
 
unataka kuoa mchaga???? poleeeeeeeeeeeeeee....................... hawana mapenzi zaidi ya pesa........ UTAKUJA KUNISIMULIA!!!!

Labda ingekuwa busara zaidi ukatafuta maneno mengine zaidi ya haya uliyoandika hapa. hakuna amtu anayeoa kabila. Tabia za watu ni subjective na walka huwezi ku generalize hata siku moja kwamba ukioa mchaga utajuta. On the contrary, wachaga ni very objective in life, hawataki ujinga, wanataka mtu mwenye maendeleao. Hili ndilo linatotafsiriwa na wengi kwamba wachanga ni wezi, no , ni kuwa objective in life.

Kaka yangu, go ahead, oa mwanamke wa kichaga na you will never reglect. hebu jiulize, ndoa zote zilizovunjika ni za wanawake wa kichaga???
 
Habari wakuu,jamani naomba kufahamishwa jambo moja linalo nisumbua kichwa changu,
kuna binti mmoja mwenyeji wa kilimanjaro,nina mpenda sana na tumepeana ahadi ya kuishi pamoja katika maisha ya ndoa,
Tatizo ni kwamba ameniambia kwamba siwezi kwenda kwao kujitambulisha mpaka kwanza nimpeleke yeye kwetu,sababu anayonipa ni kwamba
kwao wapo mabinti watano,na baba mkwe yaani baba yake anawataka binti zake kwanza wapafahamu nyumbani kwa vijana wanaowapenda kabla hawaja waleta kwake ili atoe idhini michakato mingine iendelee.

sasa wakuu naomba kujuzwa hizi ni taratibu za wenzetu wachaga,au vp nisije kuwa napigwa changa la macho,

kwa wababa wenye mabinti je huo ni utaratibu ambao mwaweza kutumia ili kujilidhisha kwamba kijana anayeletwa na binti zenu ni muoaji au.

Mpenzi wangu bado yupo masomoni anahitimu mwezi wa saba

Iyo nyi isembo kapisa...ulikuwa unasubiri nini kumpeleka kwenu mpaka binti aje kukuambia? Kiukweli nifahamuvyo ndo inavyotakiwa (speaking as a chagga)..
Step 0. unamleta binti kwenu na unamtambulisha kama rafiki (wazazi wako sio 12yrs washindwe kuelewa)...hii siku inakuwaga preferrably on one of the holidays...easter ama krisimasi! aone na mila zenu aone unapoishi awaone ndugu, nao wamuone wamkubali.\
Step 1 etc.: hii ndo kwenda kwa binti, ku-negotiate mahari, etc............

Mleu! leka udoko...hata Jocelyn anakushinda!!!
"Nakuomba Ukawaone ndugu zangu, bibi na babu, baba na mama..nna uhakika watakuombea mwa Mungu, maisha yako yote yasiwe machungu....
Lakini mpenzi ubadilishe mavazi, kusudi ukifika wasilete kipingamizi...blah blah blah..."
 
mkuu kwani kuna tatizo gani la wewe kunda nae kwenu kumtambulisha? wachaga wape very committed and focused, km unawaza uchakachuaji ujue hapo umekamatika! Pole sana and big up kwa binti!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom