mensaah
JF-Expert Member
- Sep 12, 2016
- 927
- 1,311
Jamaa jembe kwel tunampa big up anapiga kimya kimya pemben hafalu wife mtarajiwa anapigwa pending kwa kujifanya ana msimamo kama wa bashite kumbe hamna loloteHuyo Jamaa nitumie namba yake nimrushie Vocha.. Amenifurahisha sana.. Demu katingisha kiberiti jamaa kakaza kweli
