Onesha nilipokosea na upasahihishe.Mkuu hujui kuandika?
hili ni tatizo jifunze kuandika kwa ufasaha
akichomoka atakua hanisi huyo si bure.Huyo jamaa anadhani bi dada yupo kumpima uvumilivu wake wa mitego ya ngono.
Huyo mwanamke anatia shaka nae uwezo wake kitandani, mwanamke utashindwaje kumtega mwanaume uliyelala nae kitanda kimoja, kama huwa analala na dela au suruari mwambie aanze kulala na pichu tu tena alkweke mashuka mengine libaki moja tu ambalo wajifunike pamoja, usiku ajifanye mlala vibaya amtundike jamaa upaja katikati ya miguu yake. Ajifanye anasikia baridi amkumbatie jamaa kwa nguvu yeye akiwa mbele jamaa kwa nyuma kiubavu.....jamaa akichomoka hapo kweli ana Mungu wake
ndiyo mkuu anashida sababu hata ulimdindo wa sabuhi hakupata may be..... au ana roho ngumu kukaa na nyama halafu unaambiwa usile duh hata kuitamani tu unashindwa habhaa hata me ningeomba gemuhahahaa itakuwa jamaa mind yake psychologically hakuiandaa kuwa hyo siku ata do something so thats why kitu kikarest bila kushtka but kwa harakaharaka tu jamaa atakuwa na shida kidgo
ha haha sawa mkuu ,.. nina rafiki yangu mmoja yani yeye ukimtongoza hasa sehemu ya kigiza giza lazima apime unadushe kubwa kiasi gani .. kama unakidogo anakuambia tu me sikuwezi nitakucheat ha hahaa i miss her kwa kweliAtadindisha siku ya ndoa baada ya kutoka ukumbini kwenda honey moon! Vitu vingine havihitaji ujuaji...
Kama anapesa unatafuta ya plastic yenye electric charge kabisa, akilala na wewe unajihudumia, asubuhi uko ndani ya vogue unarusha roho class mate wako, yanayokupata usiku siri yako.
halafu kuna wamama jamani wanatumia mavitu kujikojolesha serias last week kwenye groum moja mama mmoja na heshima zake alisema kitu sina hamu nae

tehe tehe teheWakati mwingine posts zako hazina uhalisia.......zipo kwa ajili ya kusisimua tu.
Lakidi ni dhahiri sasa kwamba kwenye haya makitu kuna zaidi yadushe kuwa kubwa...ni wangapi tunawajua wenye miguu ya watoto ila wanazeeka wakichangia harusi za wadogo zao? Mapenzi ni affection, dushe kikunio tu!ha haha sawa mkuu ,.. nina rafiki yangu mmoja yani yeye ukimtongoza hasa sehemu ya kigiza giza lazima apime unadushe kubwa kiasi gani .. kama unakidogo anakuambia tu me sikuwezi nitakucheat ha hahaa i miss her kwa kweli
labda useme pesa.. affection not now daysLakidi ni dhahiri sasa kwamba kwenye haya makitu kuna zaidi yadushe kuwa kubwa...ni wangapi tunawajua wenye miguu ya watoto ila wanazeeka wakichangia harusi za wadogo zao? Mapenzi ni affection, dushe kikunio tu!
Sasa ole wake siku ya ndoa akutwe hana bikra, ndo atajua ni kwa nini viroba vimepigwa marufukuNyie si mnajifanyaga kuturingia.. Utasikia Ooh hakuna kufanya mapenzi mpaka ndoa.. Jamaa Kakaza sasa. Asante Jamaa kwa kutuwakirisha vyema
. Jamaa hapendi ujinga.Yeye ndio alimpa mashartiDu hiyo special 'delivery to be opened on your honey moon' nayo inataka moyo, ukikutana na vituko huko na ndoa yenyewe ni ra Roman Catholic sijui unafanya nini?
Ila na binti awe bikra, si vinginevyo. Hapo ngoma ndo itakuwa droo, vinginevyo naona kuna upande utavuna mabua soon.Aisee kupata mwanaume wa hivi mida hii ni kama kuokota embe chini ya mchungwa.
Labda kaka wa watu ana nia nzuri ya kuji save until marriage maana suprise ina raha yake atii..
Salam aleikum wadau,
Mimi kama Mwenyekiti wa wanawake tulioamua kustaafu kusex bila ndoa nimepata malalamiko toka kwa mwanachama wangu mnajua bana sisi wanawake mtuelewe tu sometimes tupo off saa zingine on kapata mchumba sharti la kwanza mwenyewe mdada akamwambia jamaa no sex till marriage jamaa akamwambia poa hata mimi nataka mwanamke kama wewe.
Imefika katikati mdada anataka kujaribu amemtega jamaa wewe hadi amelala kwake ila jamaa hapigi gemu kabisa na sasa anaprocess ndoa. Sasa huyu member mwenzetu anadai ana hofu anataka gemu kwanza mimi hata simuelewi jamani anaomba ushauri maana nimempa ID yangu hapa anasoma.
Matusi muache jamani, shaurini kiungwana mambo ya mahusiano ni magumu jamani.
Kuna mzee mmoja wa mjini alimuoza bintiye kwa mtoto wa kibopa mwenzie mjini hapa...imefika wasaa wa baba mzaa chema kutoa nasaha kwa binti mzee anafunguka...''mwanangu Shose,nimekuzaa na kukulelea vyema katika maadili mema na pia kukupatia elimu bora binti yangu kipenzi, sasa umekuwa na unaanza maisha mapya,....nalokuusia mwanangu ni kumtii mumeo na kutomchunga ili aweze kuzalisha fedha zaidi ila mapenzi ya kweli utayakuta mbinguni siku ukifa...'' watu paaah paah paah kama bungeni!labda useme pesa.. affection not now days