Mchumba anasema atoe mimba

Mchumba anasema atoe mimba

Kumbe, huo mrejesho sikuupata. Lakini on a serious note kama yaliyomtokea huyu dada ni ya kweli watu wanaomfahaumu wanahitaji kuwa naye karibu. Psychologically yuko distorted anaweza kufanya kitu chochote. Ana risk factors nyingi kwa wakati mmoja, usishangae siku sio nyingi akawa psychiatric patient.
1. Amekosa ndoa
2. Mume kamkataa
3. Amefukuzwa kazi
4. Mzazi kamkataa
5. Ni mjamzito

Yaaa ni kweli Jana asubuh tulipopata mrejesho kutoka arusha kuwa yupo salama at least ilileta matumaini na kuna watu walikuwa washajitokeza tayar kumsaidia...
Tukashauri atafutwe mhusika kwa maana baada ya jack kutoka mwanza kufika tuu arusha jamaa alizima simu kitu kilichochanganya jack..
Tunahitaj kupata mrejesho kama jamaa kapatikana pia wazazi wanasemeje kwa maana hat wazazi wa jack hawakutaka kisikia binti yao ni mjamzito...

Its really pain. Tumwombee kwa MUNGU hasa kweny hiki kipind kigumu cha mpito
 
Naomba unipe link ya hiyo thread.
BTW nitafurahi sana kuona jf tunafikia hatua ya kutatua matatizo ya kijamii kama haya na mengine yanayowakabili watu mbali mbali. Natamani ningekuwa mmoja wa hao wafuatiliaji wa hizo familia zote mbili. Tukipata mrejesho wa ilipofikia tutajua nini cha kusaidia.
 
Huyo mwanaume amefikiria complications zinazoweza kujitokeza kwenye kuroa mimba?

Huyo binti akitoa mimba na akakosa tena uwezo wa kuzaa, huyo mwanaume atamuacha mchana kweupe
 
Back
Top Bottom