Mchumba anapokuonyesha shughuli nzito siku ya harusi............

Kwa wenzetu ni rahisi kupata data, huyu mama ashukuru Mungu wake kumuepusha na huyo nzinzi, anatakiwa kupima kwanza kuhakikisha yuko salama!!!!!!!!

sisi takwimu zetu huzipata kijiweni tu na mara nyingi siyo za kweli...................
 
hiki kisasi kimeenda shule
<br />
<br />

Hata mimi nimekipenda! Nafikiri alikosa guts za kuendelea nacho, maybe angelia kanisani na kuanza kuuliza why? Ila dawa ya hicho kidume ni kumaibisha tu! Poor Woman she was so in love!
 
wazungu,mapenzi hufa,just like that.huyo dada juzi juzi alihojiwa,alimsifu sana huyo mwanamme,akasema ni mpishi mzuri sana.yeye haingii jikoni kabisa.siku zote hupikiwa na huyo bwana.na hii ndoa ya 3 kuahirishwa,na alisema,safari hii harusi ipo tu.ku cheat haijalishi mzungu,mswahili au muarabu ila ni tabia ya mtu
 
afadhali huko ulaya ambako hawachangii harusi, bongo wachangaji wanaweza kutoa mtu manundu,kha!

Yaani wewe Kingásti una vituko kweli kweli!

Niliwahi kuona shughuli moja ya vituko vya aina hii. Katika miaka ya mwisho wa sabini kulikuwa na seamen mmoja jirani yetu alikuja kuoa Tz. Munakumbuka thamani ya ma seaman katika enzi zile lakini michango ilikuwa hakuna nje ya familia. Wakati bwana harusi amekwenda kufunga ndoa kulitokea kutofautiana baina ya familia ya mwanamke na ya seaman na ndoa haikufungwa tena. Kwa vile bwana seaman alikuwa amejitayarisha vilivyo ilibidi sherehe iendelee kwa kasi ile ile.

Kwa kweli kitendo kile kilinishangaza sana.
 
Aisee huyo jamaa alipaswa atiwe aibu mbele ya umati. Ana deserve. Afu jamaa ni over 50 bado ajajua kufunga zipu. Yaani kamdhalilisha sana fiancee wake hadi kutuma picha zake kwa x. Hata huyo x nae ni nut case.

Cheating ni one thing; lakini kuanza kuwasema vibaya wenza wenu kwa hao mnaocheat nao ni unacceptable! Ni dharau ya hali ya juu na yeye alistahili kabisa kudhalilishwa.
 
Back
Top Bottom