flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,861
- 6,345
Vuta subira mambo mazur hayatak harakaHadi sasa sijapata PM yoyote.
Vuta subira mambo mazur hayatak harakaHadi sasa sijapata PM yoyote.
Ila nilikuwa namkubali kweli kweliAka Hance Mtanashati!
Jamaa sijui anatumia ID gani kwa sasa aisee.
Hatari sana, kwa hiyo unategemea nini sasaMimi nimevuka vigezo vyote
Kuhusu nini Mkuu Mimi namilikiwa tayari.Hatari sana, kwa hiyo unategemea nini sasa
Sijaona PM yakoAhsante brigadia
Nilikua busy kidogo ila usijali nakuja muda si mrefu.Sijaona PM yako
Sababu mmekuwa hadimuSiku hizi watu wanatafuta wake utasema wanatafuta ajira.
Hatari sana, kwa hiyo unategemea nini sasa
Vipi hapo mtaani, mataa wa pili na watatu hakuna wadada wenye hivyo vigezo au ndio ulikuwa domo zege ukasahau kuandaa mazingira mapema.
Usijali utampata unae mtafuta.
Mke mwema hupatikana kwenye social networks.
SawaNilikua busy kidogo ila usijali nakuja muda si mrefu.