mind ur bussness
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,050
- 743
Mm nmekwambia sio njia sahihi saana kutumia kutafta mchumba sasa tuchulie mfano akapatika kahama then ww uko arusha what would you do mkikutana na ikaonekana hakufai au kutumia picha za udanganyifu akasema ni yy but sio na umechoma mafuta kumfuata coz nachomaanisha hapa ni kuwa distant doesn't matter in love OK, but kama yuko karibu nawe and at least uwezo wa kumwona live upo haina shidaMawazo yangu ni tofauti na yako..... Mitandao inatusaidia kukutana na watu wapya kwa maeneo tofauti...... Mnaweza kutana mtandaoni na mkawa eneo moja..... Hyo itakua vizur zaidi kwasababu itakua rahisi kuonana na mwenzio..... Mwanzo wa kujuana na kama hujaridhika nae mnawekana waz
Hvo hvo kama yuko mbali ni makubaliano yenu
Usikatishe watu tamaa...... Hayo ni matendo yako sio wote wako kama ww
Nadhan hapo umenipata msomi mwenzangu


