Bikongoro
Member
- Jan 2, 2013
- 23
- 2
Jumapili moja,wakati akihubiri kanisani,mchungaji akaanza,"laiti ningekuwa na uwezo kwa namna ninavyokerwa na pombe, nigeamuru vilevi aina zote kwenye mabar vikamwagwe mtoni..........." anapomaliza kuhubiri anatoa fursa kwaya waimbe,,kwaya master anawaelekeza waumini kufungua vitabu vyao ili kuimba wimbo namba 500,unaosema"Na tukutane mtoni, watakatifu kwetu ni mtoni"........