Mchongoano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchongoano

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by majuto mperungu, Aug 17, 2012.

 1. majuto mperungu

  majuto mperungu JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Sio kila mtu anayeingia benki
  ameenda ku withdraw
  pesa....wengine wameenda
  kuomba loan.
  Sio kila mtu anayeingia chooni
  mara kwa mara anaharisha...la
  bda ameajiriwa huko.
  Sio kila chali atembeae na dem
  msupa eti ni wake....labda ni sista
  ake tu!
  Sio kila anaye update
  status'Mombasa here i
  come'anaishi huko...wengine
  wanaenda kuvisit alafu warudi
  kwao.
  Sio kila mtu akikwambia tukutane
  saa kumi yuko bize....wengine
  hawataki kukutana lunch time
  (badget)
  Sio kila anaye upload photo fb
  akiwa ndani ya subule nzuri kisha
  amepost'home sweet home'ni
  kwao....wengine ma housegal tu
  nyumbani mwa boss.
  Sio kila aliyebeba mfuko wa
  nakumatt ametoka
  huko...wengine wametoka kwa
  fundi wa viatu vikawekwa humo
  ndani.
  Sio kila anayefunga ramadhani eti
  anapenda....wen gine hawana
  pesa za chakula.
  Sio kila mwenye kitambi ana
  pesa....wengine ni kwashakor.
  Sio kila mwenye p.pic nzuri ni
  zake....wengine photoshop
  zawasaidia.
  Sio kila anayevaa koti jeupe ni
  dokta...wengine ma butcher!
  Sio kila anayeenda kanisani
  ameenda kuabudu....weng ine
  watafuta wachumba.
  Sio kila mwanamume anaweza
  mpiga mkewe....wengin e
  wanapigwa jamanii.
  Sio kila dem mwenye shape nzuri
  kajaliwa....wen gine za kichina.
  Sio kila___________
  _______________
   
 2. somba kankara

  somba kankara Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio kila aliye mweupe ni rangi yake wengine karolite sio kila anaeongea kiingereza ni msomi wengine english caurse sio kila mwenye wallett ana pesa wengine masharobaro
   
 3. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,313
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Sio kila mwanamke bar maid ni Malaya, wengine wanafanya Kama kazi Yao! Sio kila konda amwomba kazi, wengine ni magari Yao wenyewe! Sio kila baunsa anajua kupigana, wengine wanachapwa na watoto wadogo tu......
   
 4. July Fourth

  July Fourth JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 2,288
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  Sio kila mzungu ni padri...wengine waumini,
   
 5. kajojo

  kajojo JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 1,250
  Likes Received: 1,771
  Trophy Points: 280
  sio kila mwendesha gari ni la kwake wengine ni ma dereva 2.
   
 6. majuto mperungu

  majuto mperungu JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  sio kila aliyeko jf ni greatthinker
  wengine ni Vilazaaa
   
 7. majuto mperungu

  majuto mperungu JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  sio kila mwenye kitambi ana pesa wengine ni Mimba
   
 8. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  very deep.
   
 9. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  nimeipenda hiyo kaka
   
 10. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  sio kila anayesoma post hii ata-comment, wengine tunapita tu.
   
 11. Triple A

  Triple A JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 750
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  uko sahihi
   
 12. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #12
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sio kila fisadi ni CCM wengine ni waungwana sana.
   
 13. S

  STIDE JF-Expert Member

  #13
  Aug 20, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mmhhhh!!! Hapa kiongozi umekoseaaaaa!!!!

  Sio kila mwenye kitambi ni mimba, wengine Obesity
   
 14. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #14
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  wewe unakubaliana kuwa samaki mmoja akioza wote wameoza? sio kweli, wengine wanachukuliwa wameoza kwa sababu wao pia ni samaki.
   
 15. M

  MTENDAHAKI JF-Expert Member

  #15
  Aug 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,992
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  sio kila mzungu ni kocha wengine wazugaji tu!
   
 16. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #16
  Aug 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 1,713
  Trophy Points: 280
  Sio kila nanii ni nanii zingine ni naniliu!
   
 17. majuto mperungu

  majuto mperungu JF-Expert Member

  #17
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  mh hapo utata mkuu
   
 18. d

  danizzo JF-Expert Member

  #18
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio kila anaelia kawifa wengine midadi tu
   
 19. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #19
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Sio kila mlipa kodi ya serikali anapenda bali sheria tu zinamlazimisha
   
 20. F

  Fredmaty Zach. Member

  #20
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  si kila nitakalosema ukijadili kingine potezea.

  siwote walio ktk ndoa wanafurahia wengine wanajutia
   
Loading...