Mchongo tupige pesa kwa aliyekuwa tayari

Mchongo tupige pesa kwa aliyekuwa tayari

Chamkae

Member
Joined
Feb 3, 2021
Posts
37
Reaction score
21
Nina carwash naitaji mtu ambaye atakua tayari kutafuta hata contract katika kampuni yeyote tuoshe magari yao ikiwa Kama truck kuanzia hata 50 kuendelea.
  • Semi (aina Yoyote iwe body au mkeka)
  • Kipisi(mende,tandamu au single)
  • Pooling aina yoyote
  • Tank za mafuta kusafishwa chemba vizuri kabisa
  • Canter
  • Coaster
  • Gari ndogo aina yoyote
Kwa ambae atakua tayar tuongee Biashar nayeye katika izo gari katika kila moja kuna posho yake inategemea na bei ya Gari

20230320_110052.jpg
View attachment 2585115
 
Back
Top Bottom