GE2025 Mchinjita: Raia kuokotwa kwenye mabasi mchana kisha wakafa, halafu Serikali iseme ni Wasiojulikana, hiyo ni Serikali au Takataka?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kasema ukweli kabisa.Watanzania tusahau takataka kutuletea mazuri Bali tutarajie kuletewa takataka tu
 
Yes ni kweli ni TAKATAKA, na wanaoongoza hiyo serikali wamejaa matope kichwani. Hivi serikali kutumia TISS inamchukua mwananchi asiye na hatia, wanamtesa, wanamtoboa macho na kumwagia Acid usoni na kumtupa msituni......Hiyo ndiyo mnasema ni serikali? Ninyi mnaotetea serikali hamjawahi kupoteza ndugu, wazazi au wapendwa wenu kwa kukamatwa na kuua na serikali. Waliona shida gani kumpeleka mahakamani kama ana kosa. Acheni ujinga ninyi.
 
Ht wajinyee jukwaani hao wapumbavu hawawezi kupata ht mbunge moja, sasa huyo si kavimbiwa uvundo?
 
Hee duu!! Kusha anza kuchangamka.... Amazing!?
 
Serikali takataka ha ha ha ha ha
 
Sasa hizi Kauli si ndio Huwa zinaleta ukakasi au?
 
Lugha yake sio ya kistaarabu
Lakini wewe unafikiri watu wanaootea/kuuawa wanafanyiwa hivyo "kistaarabu"!

Lakini niungane nawe hapa, kuuliza kama kweli huyu mtu karuhusiwa na chama chake kuyasema haya aliyosema kuhusu "serikali takataka" iliyoPo madarakani.
 
Lakini wewe unafikiri watu wanaootea/kuuawa wanafanyiwa hivyo "kistaarabu"!

Lakini niungane nawe hapa, kuuliza kama kweli huyu mtu karuhusiwa na chama chake kuyasema haya aliyosema kuhusu "serikali takataka" iliyoPo madarakani.
Kuua au kuteka siyo ustaarabu lakini it doesn’t make you a better person Kwa kutumia lugha zisizofaa
 
Bila lugha ngumu ni ngumu sana kuondoa takataka kwenye Vichwa vya Muafrika!
Lugha ngumu haijawahi lupata mafanikio popote iwe Africa au nje ya africa

Tusijitoe fahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…