Mchina lazima kafanya kazi yake hapa

Mchina lazima kafanya kazi yake hapa

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,473
Reaction score
757
DSC_0045.jpg
 
Hii kweli kazi, ina maana watu hawajui wakivaa namna gani watavutia watu?
 
Hivi usanii ni kukaa uchi au kuonyesha maumbile,kama untaka hivyo kuna sehemu uombe ushauri ukajiunge hapo
 
Ni zaidi ya burudani,any way inapunguza stress za mgao wa umeme!
 
Hamna mchina hapo supu ya kuku wa kienyeji mbona?
 
huyu jamaa mnaemwita mchina nimempenda, kaingilia sekta zote. Vijisimu, vijivideo, vijimtu etc. Congratulation mchinese!!!!!
 
whats so special here...kwaanza hata mchina si mchina...wanaenda hospitali wanafanyiwa surgery ndogo tu ya kuongeza unene wa manyonyo
 
Back
Top Bottom