Mchimbaji mzuri wa kisima cha maji

Obonyo

Member
Apr 11, 2011
37
17
Habari za Asubuhi.
Samahani, nilikuwa naomba kuuliza kama kuna mtu anamfahamu mchimbaji mzuri wa kisima cha maji (mpiga kazi + siyo laghai) kwa DSM. Dhumuni langu ni kwanza kufanya survery kujua water table iko urefu gani kwenda chini, kuchimba na kuweka pump.Asanteni.
Obonyo.
 
Jaribu kufuatilia thread zilizotangulia miezi kadhaa kwenye upenyo huu kwani nakumbuka jambo hili lilijadiliwa sana mwaka huu miezi michache iliyopita, inginevyo ni kurudiwa kilichoongelewa.
 
Jamani anatafuta "Mchumbaji" mzuri wa kisima cha maji kwa anayejua msaidieni
 
Back
Top Bottom