Mchezo wa Kiduku Unavyowadhalilisha Wanaume

haya mashindano hayakubaliki kabisaa!inasikitisha,wanatuharibia ndugu zetu,ndio nini hiyo eti watoto wakiume wavae mavazi ya kike wakate viuno,no way labda maimartha aseme mabasha wamemuomba awaandalie hili shindano!hayafai yanatakiwa yapingwe vikali!

ofcoz kuna anachopata in the long run and I wont be suprised atawanadi hao vijana kwa wenye laana wenzie.....
 
siwezi amini hawa vijana kwenda kujidhalilisha kisa dola 250 kwa kikundi,sijui music system mara feni lol W.T.F?Ina maana njaa imekua kali sana mitaani siku hizi mama yangu!!mi nadhani hiyo ni promo tu kwa hao mayanki kwamba wanaweza mambo ya kishoga ili wapate mabasha basi,sasa akitoka kuzungusha hiyo miuno jukwaani kisha apate basha akimuhonga elfu kumi tu si anaenda kummimina mchele,yaani hao mayanki wote wanaoshiriki ni mabwabwa tu hamna kingine nyambaf zao.
 
who is maimartha?
nauliza hivi kwa kuwa nataka kujua hizi vitu anavyoambiwa ni creative navyo anavifikiriaje?
 
who is maimartha?
nauliza hivi kwa kuwa nataka kujua hizi vitu anavyoambiwa ni creative navyo anavifikiriaje?

aaaah sasa G my dear unauliza nini tena??? hebu fikiria mpaka akaamua kuleta hayo mashindano wewe huwezi kuhisi ni mtu wa namna gani na fikira zake ni duni kiasi gani?

she z just one of those wanaotaka kupata kutumia migongo ya wengine na shortcuts
 
natamani kuua mtu jinsi hasira zilivyonipanda.......!!
mwazilishi wa huu ufirauni lazima atakuwa binadamu mwenye moyo mchafu sana.......!
aibu aibu aibu watoto wa kiume.........!!
 
Siujui vyema mchezo kiduku ila kutokana na picha hiyo na staili ya kubenjua makalio kwa mwanaume haifai kabisa..eemungu tuepushe na hasira zako sisi kizazi kilichopotea.
 
Siujui vyema mchezo kiduku ila kutokana na picha hiyo na staili ya kubenjua makalio kwa mwanaume haifai kabisa..eemungu tuepushe na hasira zako sisi kizazi kilichopotea.

kweli kizazi kilichopotea na cha laana hiki

afu hao watoto wanaonekana 'watoto' kweli.....minors ambao hata maamuzi yao yanapaswa kuwa na usimamizi wa mtu mzima........in this case happens to be Maimartha!!!
 
natamani kuua mtu jinsi hasira zilivyonipanda.......!!
mwazilishi wa huu ufirauni lazima atakuwa binadamu mwenye moyo mchafu sana.......!
aibu aibu aibu watoto wa kiume.........!!
Mwanzilishi wa mchezo huu si yule yule wa kuleta kontena za sex toys........... yule mwana wa Jese sijui Jeshii...........
 

Jamani; jamani hii ni aibu kubwa mno.Tanzania a country with no standards.Hivi Wizara ya Utamaduni inafanya nini. Ukienda ofisini kwao utawakuta wamevalia masuti yao na kunywa chai muda wote. A few metres from their offices watu wanawadhalilisha watoto namna hii!!! Jamani hawa watumishi wa umma toka Waziri hadi afisa mdogo tu pale Wizarani wana majukumu gani???
 
mh sishangai hizi ni ck za mwisho shetani yuko busy kuwakusanya walio wake
 
ukicheki vizuri huyo mtoto wa kwanza aliyejipiga madole mawili ana kikaptula cha shule kwa ndani ya kanga,tena primary
 
kweli maimartha ameniudhi kiasi cha kumtoa dhamani,hivi si ni mwanamke yule siku moja na yeye kweli atapenda kuona mtoto aliyembeba miezi tisa ktk tumbo lake wa kiume akifungishwa kibwebwe na kukatishwa mauono,hata hivyo simshangai sana kufanya hivi maana kama yeye mwenyewe hajithamini kiasi cha kujipaka mamikorogo kama michael jackson atashindwa vipi kuwaharibu watoto wa wenzie!
ana roho mbaya sana,kupenda gani pesa kwa namna hiyo,wingu la kishetani limemfunika yule mwanamke!roho inaniuma sana kuona chizi mmoja akiharibu watoto!
ashindwe kwa jina la yesu na roho wa mungu awasaidie hawa watoto wasije kuwa mashoga!
 
Mi nafikiri kiduku as kiduku hakina shida ila labda wametokea watu wa kuiboresha na sasa imekuwa ni balaa mi mara ya mwisho kuangalia ktk nyimbo zao hizo mbona walikuwa wanavaa kiheshima tu? Imekuwaje?
 
Ndivyo jamii ya kibepari ilivyo wanachojali ni faida tu hata kama inapatikana kwa njia zisizo halali.
 
Back
Top Bottom