Mchezo wa Kiduku Unavyowadhalilisha Wanaume

Mchezo wa Kiduku Unavyowadhalilisha Wanaume

Mie picha sijaipenda hata kidogo naona ni dhahiri kweli mchezo sio mzuri
Niungane nawe mama mdogo! Kama leo wameanza kuvaa khanga na kucheza jukwaani, kesho usije shangaa wamevaa khanga wakipita mtaani! Mi sipingi KIDUKU ila napinga jinsi walivyo valishwa khanga hao vijana na kisha kipande ki 1 kikaficha sehemu ya kifua wakati hawana hata matiti (Kama wanawake). Huu ni udhalilishaji mkubwa hasa kwa wanaume! Tukifumbia macho ndio itakuwa mazoea yao, kesho itakuwa imezoeleka! Ingekuwa ngoma ya asili basi tujue moja ila hili hapana( Nidalili za kuchezewa "KIDUKU" kwa vijana wetu) Hey parents OPEN U'R EYES IT'S DANGER.......!
 
Back
Top Bottom