Mchepuko unaolewa


Hivi we mchuchu, magufuli hajapitia kwenye njia zako?
 
Kuvaa tu? Si unaweza kusubiri ukavaa kwa unayemkubali, au unajinunulia mwenyewe unatupia mara kadhaa.

Kuvaa tu, make mtu yupo ready kuolewa na asiemtaka, af baada ya hapo ndoa inakua uwanja wa mapambano....sababu ni kuvaa, kukimbizana na umri na kuona mashosti wameolewa so mtu anafosi tu nae aolewe
 
Ha ha ha huyo ni hawara mzigo
Ewaaaaa..... yani ni hawara unayemfanyia Usamaria wema ili naniliu yake isizibe. Sasa hawara kama huyu anapokaba kama Roberto carlos unategemea nini??
 
Brenda, Brenda. Why would you get married to a man you don't love? Peer/society pressure?

Either of it is true,ndio maana huwa napinga nikikutana na post mtu anauliza kwanini hawaolewi?hio ndio society pressure inafanya watu waolewe na wasiowapenda kuogopa tu jamii itawaonaje
Binafsi siwezi hata kupretend kuwa kwenye relationship na mtu nisiempenda sasa lifetime commitment ntawezaje?
I pray for every beautiful lady out there who's struggling in such a situation......Amen
 
Hivi we mchuchu, magufuli hajapitia kwenye njia zako?

Asipite tena hapa ndo passaway ya kwenda home kwake uzuri wake tuu shimo lenyewe huwa halizibi hata aje na pipa hahahahaa basi aaah akiwa babu Asprin maisha yanaendelea club kama kawa.

Babuu shkamoo looh nakuona ushanyanyua bakora leo sio zamu yangu looh heheheheeee ngoja aje mwenye zamu........
 
Last edited by a moderator:

1. Nimeshapiga marufuku matumizi ya neno shikamoo
2. Shimo lipi hilo lisiloziba? Hata kwa mkate??
3. Nimesitisha ratiba zote, leo ni zamu yako.
4. Nakusubiri
5. Ahsante kwa kunielewa
6. Uje without kabisa ili tusipoteze muda.
 
Where do you get a man of your dream?

Labda uchongeshe kwa fundi viatu. But uzoefu wangu wanandoa wengi waliamua kukamilisha maandiko.
Haha hii inamaanisha, either wanaume tuna-fall short, or wanamama wana ndoto zisizo na uhalisia.
 
halafu mchepuko anataka mume wake wa peke yake kazi kweli kweli... sasa zamu ya yeye kuliwa vyake umefika .. nenda salama mama
 

Ndugu wahenga wanasema "Uhawara haufi", usiseme sana, kuna siku atakutafuta na simu atakupigia au atapita job kwako kukusalimia na kukupa taarifa jinsi anavyoendelea na "Baba Ngina" wake!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…