Mchepuko Umeniponza

Mchepuko Umeniponza

Malaya mmejazana humu km uwanja wa fisi siku hizi.
Katenge chakula kwa mumeo nyau we
 
Malaya mmejazana humu km uwanja wa fisi siku hizi.
Katenge chakula kwa mumeo nyau we

Kweli wewe babu kijana maana upo uzeeni lakini unayafatilia ya ujana babu acha kuzurula corona haijaisha
 
Kweli wewe babu kijana maana upo uzeeni lakini unayafatilia ya ujana babu acha kuzurula corona haijaisha
Shajifungia sa nyingi,
Mambo ya kuagwa ooh Alikua, Alikua marehemu Alikua blah blaah😆
 
KUMEKUCHA KUMEKUCHA

MJE MTOE USHAHURI

Jamani naombeni ushahuli hapa nipo nimevurugwa ata sijui nachomokaje kwenye hili!

Iko hivi mimi nimeolewa na tuko fresh tu na mume ananipenda na ananitimizia mahitaji yote, kwa bed anapeleka moto mpk nakiona kilichomtoa kanga manyoya maana nafika vilele vyote kibo na mawenzi nakojoa mpaka naishiwa mkojo nakojoa upepo fyuuuuu

Sasa sijui shetani gani kanipitia nikatamani kuchepuka, si nikapata bwana nae mtamu balaa km mume wangu akanichanganya kijana yule penzi likawa motroo
Sasa kwenye simu nikamsevu cheps nikikatisha mchepuko

Tatizo linakuja toka saa 4 asubuhi nampigia simu hapokei anakata nikajua atakuwa ofisini! Nikamtafuta tena hapokei anakata! Ikabidi nimtumie msg vipi msweetie utakuwa na nafasi unitoe upwiruu nimemiss kweli show yako! Hapo milipanga nitoroke job! Nayo iyo sms hajajibu. Nikaendelea kutuma lakini sijibiwi ikabidi nirudi home sababu na mimi muda wa kazi umeisha

Nimerudi nyumbani nikiwa sina raha mpenzi wangu atakuwa na shida gani mbona sio kawaida yake na wivu ukanishika, nikajua kuna mtu mwingine anafaidi. My huzbnd akaniuliza vipi mke wangu mbona umekuwa mnyonge? Nikamwambia sijisikii vizuri kichwa chaniuma. Akasema kunywa panadol! Basi nikaelekea jikoni kupika mume wangu yupo sitting room anaangalia mpira

Mara simu yangu ikawa inaita kuangalia mchepuko wangu niliruka kwa furaha km nimeshinda bahati nasibu
Nikakimbilia nje chap nikapokea simu kwa kumbusu mwah! mwah! Jamani bae mbona kunifanyia hivyo mwana wa mwenzio raha sina nakupigia simu hupokei msg nazo hujib nini tatizo tamu yangu?

Nilichojibiwa nyie acheni msiombe kukutwa na bwana Pepsi!! Si nikasikia sauti ya mume wangu inaniambia, ebu acha umalaya njoo uniwekee chakula njaa inaniuma, nilichokaa

Nikaangalia simu kumbe jina linasoma cheps namba ya mume wangu means alifuta namba ya mchepuko akasevu ya kwake lakin jina likabaki la mchepuko
Hapa nawaza niende ndani au niondokee iyo iyo nisaidieni jamani

Wenye sonona plz msinizidishie sonona naombeni mnifariji na kunijibu kwa upole na upendo.

NB; Sio mimi ni mtu wangu wa karibu anaomba ushahuri kaomba nimletee
Unapiga sana umalaya dada yangu hiyo **** so sasa itakuwa na ladha maharage yaliyochacha tangu juzi?
 
Back
Top Bottom