Mchepuko Umeniponza

Mchepuko Umeniponza

Ilisha nitokeaga pisi moja ivi kanisani ilikiwa inaimba kwaya mm najifunza keyboard, sasa nikachukua namba yake tukawa tunachati kiaina baada ya week kama mbili siku iyo natafuta namba yake si ioni maana alikuwa anashika simu yangu akitaka(smart yy ana kitochi 2015 iyo), kumbe alifuta jina nilo msave mm yeye akajisave Utamu wangu😂, niligundua hilo baada ya kwenda mazoezini nikamuuliza kwa hiyo umeamua kufuta namba yako sio akajibu sijafuta ipo tu we itafute Nikajuta iyo Utamu wangu, mtoto alikuwa anaitwa NICE, mi nilikuwa na muita NICEONE😋 Ni wa kigoma asee story yake ni ndefu nimekumbuka lakin niishie hapa.. popote ulipo niceone😘
Uliomfanya nini huyo niceone ?
 
Uliagiza bia ulipokua jikoni au ulikua unapika huku unazimua bia ?
 
Mimi dem au mke akichepuka simuachi..ila naanza kuomba mchezo bambataa tuuu
 
Kumany*ko zangu hii si story nlishaisoma sehemu umetushika

Wewe watu wako serious na huyu ulimsoma wapi?!


Dears mwenzenu usingizi haupandi hapa nna mawazo. Niko na mkaka Fulani kwenye mahusiano, tumejuana muda mrefu kipindi tuko shule. Tumekutana kimwili Mara moja ila Ile siku sitaisahau. Kaka kajaaliwa mzigo aisee na ujanja wangu wote nliishia style ya kifo Cha mende. Baada ya hapo nkaumwa nyonga na mapaja siku 2, na anaweza kaa hapo kifuani lisaa lizima. Jamani leo kaniambia anataka afuate utaratibu tufunge ndoa. Yaani Nina mawazo sielewi. Ndoa nataka ila mmmh! Njoon mnifariji Basi jamani au mniambie nawezaje kuishi nae na maumbile hayo
 
Rudi ndani kafanye kazi zako km kawaida wala usiseme lolote mhudumie km kawaida msubirie yy aamue lakukufanya...just chill
 
Rudi ndani kafanye kazi zako km kawaida wala usiseme lolote mhudumie km kawaida msubirie yy aamue lakukufanya...just chill

Anaogopa msg nzito za kumsifia na kumpongeza mchepuko mume kazisoma
 
Ushahuli ndio nini? yaani nyie mnaoandika maneno kama haya mnakera sana hamna tofauti na wale wa xaxa, upuuzi mtupu

Harafu wewe mama mtu mzima kuja kutupiga kamba hapa.
JamiiForums1317802546.gif
 
Back
Top Bottom