Mchepuko Umeniponza

Mchepuko Umeniponza

Malay utawajua na thread za kijinga kama hizi melo inabidi uwapige ban
 
Malay utawajua na thread za kijinga kama hizi melo inabidi uwapige ban

Wewe sasa mtakatifu! Alafu mbona aliyeomba mumshahuri alishasema wenye sonona mtulie bwana kibwengo. Ebu lete ushahuri inawezekana akawa dada yako huyu ujue
 
KUMEKUCHA KUMEKUCHA

MJE MTOE USHAHURI

Jamani naombeni ushahuli hapa nipo nimevurugwa ata sijui nachomokaje kwenye hili!

Iko hivi mimi nimeolewa na tuko fresh tu na mume ananipenda na ananitimizia mahitaji yote, kwa bed anapeleka moto mpk nakiona kilichomtoa kanga manyoya maana nafika vilele vyote kibo na mawenzi nakojoa mpaka naishiwa mkojo nakojoa upepo fyuuuuu

Sasa sijui shetani gani kanipitia nikatamani kuchepuka, si nikapata bwana nae mtamu balaa km mume wangu akanichanganya kijana yule penzi likawa motroo
Sasa kwenye simu nikamsevu cheps nikikatisha mchepuko

Tatizo linakuja toka saa 4 asubuhi nampigia simu hapokei anakata nikajua atakuwa ofisini! Nikamtafuta tena hapokei anakata! Ikabidi nimtumie msg vipi msweetie utakuwa na nafasi unitoe upwiruu nimemiss kweli show yako! Hapo milipanga nitoroke job! Nayo iyo sms hajajibu. Nikaendelea kutuma lakini sijibiwi ikabidi nirudi home sababu na mimi muda wa kazi umeisha

Nimerudi nyumbani nikiwa sina raha mpenzi wangu atakuwa na shida gani mbona sio kawaida yake na wivu ukanishika, nikajua kuna mtu mwingine anafaidi. My huzbnd akaniuliza vipi mke wangu mbona umekuwa mnyonge? Nikamwambia sijisikii vizuri kichwa chaniuma. Akasema kunywa panadol! Basi nikaelekea jikoni kupika mume wangu yupo sitting room anaangalia mpira

Mara simu yangu ikawa inaita kuangalia mchepuko wangu niliruka kwa furaha km nimeshinda bahati nasibu
Nikakimbilia nje chap nikapokea simu kwa kumbusu mwah! mwah! Jamani bae mbona kunifanyia hivyo mwana wa mwenzio raha sina nakupigia simu hupokei msg nazo hujib nini tatizo tamu yangu?

Nilichojibiwa nyie acheni msiombe kukutwa na bwana Pepsi!! Si nikasikia sauti ya mume wangu inaniambia, ebu acha umalaya njoo uniwekee chakula njaa inaniuma, nilichokaa

Nikaangalia simu kumbe jina linasoma cheps namba ya mume wangu means alifuta namba ya mchepuko akasevu ya kwake lakin jina likabaki la mchepuko
Hapa nawaza niende ndani au niondokee iyo iyo nisaidieni jamani

Wenye sonona plz msinizidishie sonona naombeni mnifariji na kunijibu kwa upole na upendo.

NB; Sio mimi ni mtu wangu wa karibu anaomba ushahuri kaomba nimletee
A8859D60-5FA1-49F5-8E97-FC13FCC66171.jpeg
 
angalau toa credit kwa page ya vichekesho ulikoitoa hii.

Na iki kichekesho kutoka wapi?

Dears mwenzenu usingizi haupandi hapa nna mawazo. Niko na mkaka Fulani kwenye mahusiano, tumejuana muda mrefu kipindi tuko shule. Tumekutana kimwili Mara moja ila Ile siku sitaisahau. Kaka kajaaliwa mzigo aisee na ujanja wangu wote nliishia style ya kifo Cha mende. Baada ya hapo nkaumwa nyonga na mapaja siku 2, na anaweza kaa hapo kifuani lisaa lizima. Jamani leo kaniambia anataka afuate utaratibu tufunge ndoa. Yaani Nina mawazo sielewi. Ndoa nataka ila mmmh! Njoon mnifariji Basi jamani au mniambie nawezaje kuishi nae na maumbile hayo
 
Wewe watu wako serious na huyu ulimsoma wapi?!

Nakujua pm mama tushauliane
 
vipi ushauri wangu unauhitaji? Kama utauhitaji niambie nikwambie ufute kichwa Cha uzi na uandike nini
 
CHAI japo ya moto hii

ila wewe si muuza utamu maarufu kabisa.

Ila any ways....
 
vipi ushauri wangu unauhitaji? Kama utauhitaji niambie nikwambie ufute kichwa Cha uzi na uandike nini

Ushahuri wako baki nao mkuu utamfanya anayeomba ushahuri akose raha zaidi
 
Tangawizi nyingi sana

Na hii nayo

Niliwah kutana na baba mtu mzm sana Arusha to dar baba yule alikua wa kipekee kwanza kabisa alikutana na mwanangu wa miaka mitatu anaongea akaanza kupiga nae stor baba yule aliashuka same kwa heshima na taadhima aliingia mfukon mwake akatoa elfu 40 akanikabidhi ya mtoto ya juis nilijilaumu sana kwann sikupiga nae story za kumchekea chekea labda angeacha zaidi wewe baba tuliyekutana naomba unitafute niliona ulikuwa unachat JF nitafute nikupe maendeleo ya rafiki yako uliyempa pesa ya juisi
 
Back
Top Bottom