Mchepuko amekomalia hataki ndoa ifanyike

Mchepuko amekomalia hataki ndoa ifanyike

mutant gene

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
876
Reaction score
326
Jamaa ana mpenzi wake wa long time kitambo. msichana alikuwa nje ya nchi kimasomo mawasiliano na maelewano kama kawaida(kiufupi wanapenda sana). walipanga mchumba akimaliza wafunge ndoa. mchumba amerudi ndoa tarehe 28/9.

wakati mchumba yupo masomoni jamaa akaona si mbaya kutafuta wa kuzugia(mchepuko).

Mpaka sasa mchepuko anadai ana mimba ya jamaa na anasisitiza kuwa ndoa haitafungwa na hata ikifungwa hawataishi pamoja atamuua jamaa.

Jamaa analia kama demu hajui afanye nini anaona kama mchepuko anaingilia mapenzi yake hivi.

Mimi kama rafiki nimeshindwa kumshauri ila nikaona si mbaya kuwashirikisha wana MMU tumsaidie ushauri kijana wenzetu afanye nini?
 
jamaa ana mpenzi wake wa long time kitambo. msichana alikuwa nje ya nchi kimasomo mawasiliano na maelewano kama kawaida(kiufupi wanapenda sana). walipanga mchumba akimaliza wafunge ndoa. mchumba amerudi ndoa tarehe 28/9.

wakati mchumba yupo masomoni jamaa akaona si mbaya kutafuta wa kuzugia(mchepuko). mpaka sasa mchepuko anadai ana mimba ya jamaa na anasisitiza kuwa ndoa haitafungwa na hata ikifungwa hawataishi pamoja atamuua jamaa.

jamaa analia kama dame hajui afanye nini anaona kama mchepuko anaingilia mapenzi yake hivi.

me kama rafiki nimeshindwa kumshauri ila nikaona si mbaya kuwashirikisha wana MMU tumsaidie ushauri kijana wenzetu afanye nini?

rafiki yako alifanya kosa kubwa sana la kuuambia mchepuko kuwa anaoa muda si mrefu. mchepuko umejiridhisha kuwa jamaa ni husband material na haupo radhi kuona unapokonywa tonge mdomoni. wewe mwambie kijana alipoti polisi na kutishiwa kuuawa na aendelee na mipango yake ya harusi.
 
rafiki yako alifanya kosa kubwa sana la kuuambia mchepuko kuwa anaoa muda si mrefu. mchepuko umejiridhisha kuwa jamaa ni husband material na haupo radhi kuona unapokonywa tonge mdomoni. wewe mwambie kijana alipoti polisi na kutishiwa kuuawa na aendelee na mipango yake ya harusi.

ushauri wako mzuri mkuu. nafikiri alimueleza baada ya mchepuko kudai ana mimba ya jamaa(inavyoonekana jamaa anakataa mimba) lakini amekutana na mchepuko wenyewe sio kabisa.
 
Wanawake wanapenda uongo, mwambie aanze kumdanganya danganya ili kumzuga. Amwambie saiv anampenda yeye na amsafirishe mbali kupisha ndoa. Huku nyuma amweleze mke wake sakata zima ili mchepuko akirudi wajue namna ya kumhandle
 
Mkiambiwa muwe waaminifu hamtaki.Check sasa anaanza kuangaika na matunda ya uzinifu wake.

Kwasababu tangu mwanzo mahusiano yake na huyo mchepuko yalikuwa ya uongo,basi atafute uongo mwingine tena ili amkimbie uyo mchepuko.
Mtoto wake aje amtafute baadae.
 
Back
Top Bottom