maharage ya ukweni
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,416
- 3,236
MTAKUJA KUKOJOA DAGAAA
Hahahahahawe unakuta ulionyesha ujuzi mumewe anachomeka na kumwaga na kujitupa pemebni kama katupa uchafu kwenye dust bean mkono usishike uchafu.. .... nimeelezwa mengi na wake za watu.. kiukweli wanawake wanacheat mnoo lakini sababu kubwa wabnaume husababisha... mtasema mama zetu mbona hawakucheat mama zetu wengi walijua dushe moja.. sisi wa sasa kila size ishapita kila mdundiko tushacheza halafu unakuja na kamdundiko chako cha ajabu baada ya ndoa lazima akumbukwe juma
miss chaga na wewe umo nn maana.Kwa jinsi ulivyoihadithia laziima utakuwa we we ndio ulijinusuru na kasumba hiyo.....Hii imetokea Mwanza wiki iliyopita, kuna rafiki yangu tunaishi pamoja kama majirani, yaan nyumba yake na yangu yangu zipo karibu sana, nyumba aliyopanga ina wapangaji 5, sasa ni muda kidogo alianza kuwa na mahusiano na mke wa mpangaji mwenzake, sasa wiki iliyopita, Mume wake majira ya saa 12 jioni alienda kuhani msiba mtaa wa pili, sasa rafiki yangu huyu na mke wa mpangaji mwenziye wakakubaliana kuwa waende bafuni, yaan mwanamke ajifanye kama anaenda kuoga afu mwanaume ataenda aingie bafuni ili wafanye yao, sasa mwanamke akaingia bafuni then mwanaume akafuatia, ile wanaendelea kupeana mambo yao humo bafuni, mumewe akafika kutoka msibani na akawa anaeelekea Uani kujisaidia, bafuni kuna dirisha, mchepuko ukawahi kumuona mume kwa haraka akamwambia mke wa mshikaji kuwa "Mumeo Anakuja" ile mke kumuona mumewe anakuja, haraka haraka ukafungua mlango wa bafuni ule mchepuko ukatoka haraka sana na kutumbukia kwenye mtaro wa maji machafu ukajibanza pembeni ya bafu, Mlango wa bafuni ulisikika ukijigonga kwa sauti, Mume alipofika Uani akamuuliza mkewe kuwa "Mbona unaoga muda mrefu"? mkewe akamjibu "Ndo nimeingia bafuni sa hivi" (Kwa sauti ya kutetemeka)
Baada ya kujisaidia mumewe alimulika-mulika huku na kule kwa tochi yake aliyokuwa nayo baadae akarudi ndani, Huyu mshikaji anasema amekoma kabisa kumla mke wa jirani yake maana ilikuwa ni chupu chupu akamatwe na alipata michubuko wakati wa vurumai lile.
My take: Mke wa Mtu ni Hatari, kila mtu atafute wa kwake, sasa hivi vijana wengi hawaoi, wanavia wake za wenzao tu.
Umeolewa Lin miss chaga?au ndio story ya kufikirika ukiolewa.....daha hatari aiseee ,.. kuoa si hoja hoja mnatupa mapenzi baada ya ndoa au mnafikiria tukiolewa hisia zinakufa na hatuitaji mtekenyo mtekenyo nikiwa na maana hiii kuombwa mzigo kimahaba mahaba .. kunitumia sms za mapenzi .. sasa uunakuta mtu na mumewe sms ikiingia ni maagizo tu hakuna mahabati





Ngoja kwanzaUmeolewa Lin miss chaga?au ndio story ya kufikirika ukiolewa.....![]()

Nimecheka saana saana ulivyovaa uhusika wa kuwemo katika maisha ya Ndoa.....lakini ngoja kwanzaNgoja kwanza![]()
![]()
![]()
Ha ha haNimecheka saana saana ulivyovaa uhusika wa kuwemo katika maisha ya Ndoa.....lakini ngoja kwanza
Ha ha ha haHahahahaha![]()
![]()
![]()
miss chaga na wewe umo nn maana.
huko chooni anaandaliwaje?
wakwangu hata tukiwa chumbani wote tunatumiana text zakimahaba zakuombana mzigodaha hatari aiseee ,.. kuoa si hoja hoja mnatupa mapenzi baada ya ndoa au mnafikiria tukiolewa hisia zinakufa na hatuitaji mtekenyo mtekenyo nikiwa na maana hiii kuombwa mzigo kimahaba mahaba .. kunitumia sms za mapenzi .. sasa uunakuta mtu na mumewe sms ikiingia ni maagizo tu hakuna mahabati
safi kabisawakwangu hata tukiwa chumbani wote tunatumiana text zakimahaba zakuombana mzigo
Kumbe nyie wanaume wa mikoani ndiyo bure kabisa, pauchi mnalia chooni!!! mbafuu kabisa.Hii imetokea Mwanza wiki iliyopita, kuna rafiki yangu tunaishi pamoja kama majirani, yaan nyumba yake na yangu yangu zipo karibu sana, nyumba aliyopanga ina wapangaji 5, sasa ni muda kidogo alianza kuwa na mahusiano na mke wa mpangaji mwenzake, sasa wiki iliyopita, Mume wake majira ya saa 12 jioni alienda kuhani msiba mtaa wa pili, sasa rafiki yangu huyu na mke wa mpangaji mwenziye wakakubaliana kuwa waende bafuni, yaan mwanamke ajifanye kama anaenda kuoga afu mwanaume ataenda aingie bafuni ili wafanye yao, sasa mwanamke akaingia bafuni then mwanaume akafuatia, ile wanaendelea kupeana mambo yao humo bafuni, mumewe akafika kutoka msibani na akawa anaeelekea Uani kujisaidia, bafuni kuna dirisha, mchepuko ukawahi kumuona mume kwa haraka akamwambia mke wa mshikaji kuwa "Mumeo Anakuja" ile mke kumuona mumewe anakuja, haraka haraka ukafungua mlango wa bafuni ule mchepuko ukatoka haraka sana na kutumbukia kwenye mtaro wa maji machafu ukajibanza pembeni ya bafu, Mlango wa bafuni ulisikika ukijigonga kwa sauti, Mume alipofika Uani akamuuliza mkewe kuwa "Mbona unaoga muda mrefu"? mkewe akamjibu "Ndo nimeingia bafuni sa hivi" (Kwa sauti ya kutetemeka)
Baada ya kujisaidia mumewe alimulika-mulika huku na kule kwa tochi yake aliyokuwa nayo baadae akarudi ndani, Huyu mshikaji anasema amekoma kabisa kumla mke wa jirani yake maana ilikuwa ni chupu chupu akamatwe na alipata michubuko wakati wa vurumai lile.
My take: Mke wa Mtu ni Hatari, kila mtu atafute wa kwake, sasa hivi vijana wengi hawaoi, wanavia wake za wenzao tu.
Nawajibia. (umalaya)naombeni kuuliza wanawake una mume ndani unagegedwa kila siku hivi mechi zingine za mchangani kama hizi ni za nini ?
ukame ,umalaya au ni nini?