Mchepuko almanusra udakwe bafuni

Mchepuko almanusra udakwe bafuni

mkuu ukweli ndiyo huu japo nitaonekana kama natetea maovu.. wanaume wengi wakioa yani zili ashki ashki zinaisha sijui wanahisi wanawake wanapata monopose baada ya ndoa mi sielewi..lakini wangefanya kautafiti mwanamke anapata raha zaidi wakati gani? mi nijuavyo wakati wa ashki ina raha yake jamani kabla ya dushe,,, sasa humo ndai mume kafika zaidi ya kunyonyana ndimi hakuna kingine aisee.. unakuta ananyonya ndimi akijiongeza sana kashika titi na ushikaji wake kama anakanda mandazi teh.... sasa hapo napata kijana huko kwanza mzigo anauomba kwa maneno matamu matamu halafu unampa cha wizi acha tu
Unaongea kwa hisia sana Mkuu.

Kumbe unapenda mtekenyo mtekenyo kabla ya la naniliu eeh?

Hakika sitofanya makosa tena.

Kilio chako nimekisikia.
 
daha hatari aiseee ,.. kuoa si hoja hoja mnatupa mapenzi baada ya ndoa au mnafikiria tukiolewa hisia zinakufa na hatuitaji mtekenyo mtekenyo nikiwa na maana hiii kuombwa mzigo kimahaba mahaba .. kunitumia sms za mapenzi .. sasa uunakuta mtu na mumewe sms ikiingia ni maagizo tu hakuna mahabati
Mnasababisha maisha yanakuwa magumu sana. Mnataka vitu vya ajabu ajabu
 
daha hatari aiseee ,.. kuoa si hoja hoja mnatupa mapenzi baada ya ndoa au mnafikiria tukiolewa hisia zinakufa na hatuitaji mtekenyo mtekenyo nikiwa na maana hiii kuombwa mzigo kimahaba mahaba .. kunitumia sms za mapenzi .. sasa uunakuta mtu na mumewe sms ikiingia ni maagizo tu hakuna mahabati
na ww unachepukaga
 
Back
Top Bottom