Mchepuko almanusra udakwe bafuni

Mchepuko almanusra udakwe bafuni

Kuna jirani yangu mke WA mtu naye sijui alifata mtekenyo

kafanyiwa kwenye lijumba ambalo halijaisha na akapata mimba siku hiyo hiyo
sasa ivi anahaha kuitoa na imegoma

nyege zingine bwana Ni shida tuu
Nyege ni nouma sana
 
mkuu ukweli ndiyo huu japo nitaonekana kama natetea maovu.. wanaume wengi wakioa yani zili ashki ashki zinaisha sijui wanahisi wanawake wanapata monopose baada ya ndoa mi sielewi..lakini wangefanya kautafiti mwanamke anapata raha zaidi wakati gani? mi nijuavyo wakati wa ashki ina raha yake jamani kabla ya dushe,,, sasa humo ndai mume kafika zaidi ya kunyonyana ndimi hakuna kingine aisee.. unakuta ananyonya ndimi akijiongeza sana kashika titi na ushikaji wake kama anakanda mandazi teh.... sasa hapo napata kijana huko kwanza mzigo anauomba kwa maneno matamu matamu halafu unampa cha wizi acha tu
Alafu cha wizi uwa kitamu sana
 
daha hatari aiseee ,.. kuoa si hoja hoja mnatupa mapenzi baada ya ndoa au mnafikiria tukiolewa hisia zinakufa na hatuitaji mtekenyo mtekenyo nikiwa na maana hiii kuombwa mzigo kimahaba mahaba .. kunitumia sms za mapenzi .. sasa uunakuta mtu na mumewe sms ikiingia ni maagizo tu hakuna mahabati
Umeongea fact tupu ni kweli wanaume uwa tunabadilika sana kwenye ndoa tofauti na kabla ya ndoa
 
cha wizi kitamu jaribu
Uzuri wa mechi za mchangani ni kwamba mkishapatana mkaifanye kila mtu anajiandaa kifikra mapema mwenyewe.. Mkifika tu kila mtu yuko sawa na mnaanza iaaue bila kupoteza mda na kila mtu anaridhika and then mnasepa..hainaga kuandaana. Unajiandaa mwenyewe ukifika uko tyar
 
unakauzoefu ndivyo ilivyo
 
mkuu ukweli ndiyo huu japo nitaonekana kama natetea maovu.. wanaume wengi wakioa yani zili ashki ashki zinaisha sijui wanahisi wanawake wanapata monopose baada ya ndoa mi sielewi..lakini wangefanya kautafiti mwanamke anapata raha zaidi wakati gani? mi nijuavyo wakati wa ashki ina raha yake jamani kabla ya dushe,,, sasa humo ndai mume kafika zaidi ya kunyonyana ndimi hakuna kingine aisee.. unakuta ananyonya ndimi akijiongeza sana kashika titi na ushikaji wake kama anakanda mandazi teh.... sasa hapo napata kijana huko kwanza mzigo anauomba kwa maneno matamu matamu halafu unampa cha wizi acha tu
Ndio hapo sasa, mwanamke mpaka achepuke kuna anachokikosa na ukute anamwambia mwenzie halafu habadiliki sasa. Anajiamulia tu kubebishwa na kamchepuko ila sio sahihi lakini huwa katamu
 
shida sio kutoa mzigo shida ni hii mpaka anafata mtu chooni ni kwamaba ana hamu sana kwa nini?
kunguru hafugiki..kabla hajaolewa alishazoea kuchapwa na wanaume tofauti wanao simamia kucha balaa Leo hii ataanzaje kuchapwa na dudu moja

atatoa mzigo hata vichakani..
 
daha hatari aiseee ,.. kuoa si hoja hoja mnatupa mapenzi baada ya ndoa au mnafikiria tukiolewa hisia zinakufa na hatuitaji mtekenyo mtekenyo nikiwa na maana hiii kuombwa mzigo kimahaba mahaba .. kunitumia sms za mapenzi .. sasa uunakuta mtu na mumewe sms ikiingia ni maagizo tu hakuna mahabati

na usiombee jamani..ukipewa papuchi kwa kuomba sana ukivuliwa chupi unamkuna vizuri maana unakuta njemba umeomba mpaka baaasi,,na huo mgegedo wa kiabe ndo mnataka nyie
 
daha hatari aiseee ,.. kuoa si hoja hoja mnatupa mapenzi baada ya ndoa au mnafikiria tukiolewa hisia zinakufa na hatuitaji mtekenyo mtekenyo nikiwa na maana hiii kuombwa mzigo kimahaba mahaba .. kunitumia sms za mapenzi .. sasa uunakuta mtu na mumewe sms ikiingia ni maagizo tu hakuna mahabati
Hahahahahaha
 
Hahahahaahah unakuja lini kibosho
 
mkuu ukweli ndiyo huu japo nitaonekana kama natetea maovu.. wanaume wengi wakioa yani zili ashki ashki zinaisha sijui wanahisi wanawake wanapata monopose baada ya ndoa mi sielewi..lakini wangefanya kautafiti mwanamke anapata raha zaidi wakati gani? mi nijuavyo wakati wa ashki ina raha yake jamani kabla ya dushe,,, sasa humo ndai mume kafika zaidi ya kunyonyana ndimi hakuna kingine aisee.. unakuta ananyonya ndimi akijiongeza sana kashika titi na ushikaji wake kama anakanda mandazi teh.... sasa hapo napata kijana huko kwanza mzigo anauomba kwa maneno matamu matamu halafu unampa cha wizi acha tu
Ungefafanua vizur ingekuwa njema sana
 
Hii Movie ingenoga kama Stering angeingia kwenye 18 za mwenye Mke.
 
Hii imetokea Mwanza wiki iliyopita, kuna rafiki yangu tunaishi pamoja kama majirani, yaan nyumba yake na yangu yangu zipo karibu sana, nyumba aliyopanga ina wapangaji 5, sasa ni muda kidogo alianza kuwa na mahusiano na mke wa mpangaji mwenzake, sasa wiki iliyopita, Mume wake majira ya saa 12 jioni alienda kuhani msiba mtaa wa pili, sasa rafiki yangu huyu na mke wa mpangaji mwenziye wakakubaliana kuwa waende bafuni, yaan mwanamke ajifanye kama anaenda kuoga afu mwanaume ataenda aingie bafuni ili wafanye yao, sasa mwanamke akaingia bafuni then mwanaume akafuatia, ile wanaendelea kupeana mambo yao humo bafuni, mumewe akafika kutoka msibani na akawa anaeelekea Uani kujisaidia, bafuni kuna dirisha, mchepuko ukawahi kumuona mume kwa haraka akamwambia mke wa mshikaji kuwa "Mumeo Anakuja" ile mke kumuona mumewe anakuja, haraka haraka ukafungua mlango wa bafuni ule mchepuko ukatoka haraka sana na kutumbukia kwenye mtaro wa maji machafu ukajibanza pembeni ya bafu, Mlango wa bafuni ulisikika ukijigonga kwa sauti, Mume alipofika Uani akamuuliza mkewe kuwa "Mbona unaoga muda mrefu"? mkewe akamjibu "Ndo nimeingia bafuni sa hivi" (Kwa sauti ya kutetemeka)
Baada ya kujisaidia mumewe alimulika-mulika huku na kule kwa tochi yake aliyokuwa nayo baadae akarudi ndani, Huyu mshikaji anasema amekoma kabisa kumla mke wa jirani yake maana ilikuwa ni chupu chupu akamatwe na alipata michubuko wakati wa vurumai lile.

My take: Mke wa Mtu ni Hatari, kila mtu atafute wa kwake, sasa hivi vijana wengi hawaoi, wanavia wake za wenzao tu.
Huyo mwanamke naye kimeo. Atakubalije kwenda kutiliwa bafuni kama mbuzi?
 
Back
Top Bottom