Mchengerwa ni nani?

Mchengerwa ni nani?

Mchengerwa kabla ya kugombea ubunge alikua Msaidizi wa Jaji katika Mahakama Kuu ...akisaidia jaji kuandika hukumu, baada ya Mama Mkwe kupata Umakamu wa Rais kwa awamu ya Pili akagombea Ubunge kule Rufiji, Mchengerwa ndo aliyesaidiana na Jaji Mwanga kuwahukumu akina Mbowe ile kesi ya Akwilina kulipa faini ya mamilioni kumbuka kesi ya akina Msigwa, Mbowe, Esta Bulaya , Esta Matiku ambayo wananchi walichanga fedha kuwatoa jela.

Kama ilivyo ada ukiwa karibu na Viongozi unaingizwa kitengo Mchengerwa naye aliingizwa kitengo na mkwe wake kwa sababu tayari anakua anapata baadhi ya siri za familia ya Makamu wa Rais kupitia mke wake ....so lazima atunze hizo siri za familia ....Kwa wasio fahamu ni kwamba ukitaka kuoa kwenye hizo familia kuna kauchunguzi hufanyika ka unafiki kuhusu kuolewa na kuoa wapi ...hivo utafika mahali nawe utaingizwa humo wakikuona kama wewe ni asset ama kwa maelekezo ama kwa kufuata misingi...
Nadhani inatosha tu Kusema kwamba angekuwepo Magufuli ..Mchengerwa asingepata hivyo vyeo...Maana baada ya mkwe wake kuingia madarakani akamweka kuw waziri moja kwa moja, akaanza na Utumishi wa umma (alifanya vizuri naweza kumpa 80%) zikaja kelele za watu kupotea maana ile wizara inasimamia TAKUKURU NA TISS kiutumishi akamwamishia michezo kwa muda badae akamuashia TAMISEMI Wizara nyeti na kubwa kweli kweli hii yote sio ka maslahi ya Taifa ila kwa maslahi ya familia...Mchengerwa ni mtendaji mzuri na mpiga kelele mzuri pia.


Nadhani jukuma lake kubwa ni kuona Ma Mkwe akibaki madarakani kwa kuwashughulikia wanaomwandama mama mkwe wake iwe kumsema vibaya au kumtukuna...Inasemwa mtaani kuwa ndo mwenye vikosi vya akina Mafwele watu kupotea au kunyamazishwa...Kwa kumrejelea dogo Chaula aliyechoma picha ya Samia, Mdude, ...
Wabunge kama Gambo na Mpina anahakikisha hawarudi bungeni kwa sababu wanasema mama mkwe vibaya...
Alivyotoka michezo hakwenda Mali asili na utalii?
 
We mkundu umekariri vinyesi? We msenge uwe na adabu acha arrogance wakati umebeba mavi tu kichwani. Niwe chawa wa Mchengerwa ananifahamu? Siyo kila mtu ni zwazwa km ww

Povu ruksa, kumtetea boyfrend anayekulisha nayo kazi pia kijana wa hovyo!


...ignored
 
Kwa miaka ya karibuni huyu bwana amepanda sana chati na kuwa mmoja wa mamastermind wa uendeshaji wa nchi hii. Ukiacha nasaba na kuwa mkwe wa mama lakini pia ni waziri mwandamizi anayefoka kwenye maongezi yake kwamba yeye ndiye boss wa wakuu wa mikoa so hamna atakayefanya lolote anapoagiza. Ukitazama kwa undani kidogo utagundua mama kamuachia pia maamuzi yote ya ofisi kuu. Kaibuka ghafla sana, je ni merits kwamba ni smart sana, elimu nzuri anayo au tu kwa kuwa mkwe wa mama? Hatumjui vema katoka wapi

Anapojinadi anakua kavaa kofia ya kikomunisti (nafikiri anamuiga Che Guevara) ambayo bahati mbaya sana vijana wa kisasa hawajui hata maana yake, nikifikiri ndio message anayotaka kuwapa.

Kwa mustakabali wa nchi yetu, na kuwajua viongozi wetu vizuri, na kwa nguvu aliyonayo sasa sio ajabu kabisa kuja mbele ya safari kuona anapewa uongozi wa nchi, ukizingatia trend ya sasa na uongozi kwenda kwa ndugu na jamaa wa familia zilezile, sisi kenge wa mama naamini tuna haki ya kumfahamu vyema.

Wanabodi wa nyumba hii wanafahamu mengi na hebu sasa tufunguke kumfahamu vyema mkomunisti huyu wakati tukiendelea kuona itikadi hiyo ikifa taratibu!
Alienda kuhiji maka na makamera😀
 
Huwa anachekesha sana na hicho kikofia cha wakomunisti wakati mwenyewe ni bepari wa kutupwa.
 
Back
Top Bottom