😅 We ndo wale wa tuma kwene namba hii Jina litakuja......Wasanii na viongozi ambao yule Mama pale Botswana akitoka wataganga njaa sana:
1. Wema pelepete
2. Steven Minenguo
3. Mrisho Pekupeku (Mzua taharuki)
4. Mwizi-jakuzi
5. Baba Tambarale (Chawa Mkuu)
6. Shasha, sheshe, Shishi vyakula milenda
7......
Viongozi:
1. Jimbo la Kule kura zilizojazwa za wizi zimekamatwa juzi
2. Huyu wa mada husika
3. Jina la wale wakusanya nauli ndani ya daladala
4. Yule aliesema tunywe miti shamba kuzuia korona, kisha akasema tuache tuchanje
5.....
Endeeleni kumbuka name calling (kutaja jina la mtu hairuhusiwi)
Jinsi unavyouliza hivi unajiweka wazi any way mnataka mtusaidie au tuhamie tu Burundi🤣🤣Funguka kidogo mkuu!
Mchengerwa kabla ya kugombea ubunge alikua Msaidizi wa Jaji katika Mahakama Kuu ...akisaidia jaji kuandika hukumu, baada ya Mama Mkwe kupata Umakamu wa Rais kwa awamu ya Pili akagombea Ubunge kule Rufiji, Mchengerwa ndo aliyesaidiana na Jaji Mwanga kuwahukumu akina Mbowe ile kesi ya Akwilina kulipa faini ya mamilioni kumbuka kesi ya akina Msigwa, Mbowe, Esta Bulaya , Esta Matiku ambayo wananchi walichanga fedha kuwatoa jela.Kwa miaka ya karibuni huyu bwana amepanda sana chati na kuwa mmoja wa mamastermind wa uendeshaji wa nchi hii. Ukiacha nasaba na kuwa mkwe wa mama lakini pia ni waziri mwandamizi anayefoka kwenye maongezi yake kwamba yeye ndiye boss wa wakuu wa mikoa so hamna atakayefanya lolote anapoagiza. Ukitazama kwa undani kidogo utagundua mama kamuachia pia maamuzi yote ya ofisi kuu. Kaibuka ghafla sana, je ni merits kwamba ni smart sana, elimu nzuri anayo au tu kwa kuwa mkwe wa mama? Hatumjui vema katoka wapi
Anapojinadi anakua kavaa kofia ya kikomunisti (nafikiri anamuiga Che Guevara) ambayo bahati mbaya sana vijana wa kisasa hawajui hata maana yake, nikifikiri ndio message anayotaka kuwapa.
Kwa mustakabali wa nchi yetu, na kuwajua viongozi wetu vizuri, na kwa nguvu aliyonayo sasa sio ajabu kabisa kuja mbele ya safari kuona anapewa uongozi wa nchi, ukizingatia trend ya sasa na uongozi kwenda kwa ndugu na jamaa wa familia zilezile, sisi kenge wa mama naamini tuna haki ya kumfahamu vyema.
Wanabodi wa nyumba hii wanafahamu mengi na hebu sasa tufunguke kumfahamu vyema mkomunisti huyu wakati tukiendelea kuona itikadi hiyo ikifa taratibu!
Umeona ee wachokonozi hawa jifanye kufunguka waruke nawewe mazima...Jinsi unavyouliza hivi unajiweka wazi any way mnataka mtusaidie au tuhamie tu Burundi🤣🤣
Ok ok olo in olo ungekuwa wewe ungekubali mkweo asemwe hii nazungumzia kibinadamu tu sio nguvu ya utawala?Mchengerwa kabla ya kugombea ubunge alikua Msaidizi wa Jaji katika Mahakama Kuu ...akisaidia jaji kuandika hukumu, baada ya Mama Mkwe kupata Umakamu wa Rais kwa awamu ya Pili akagombea Ubunge kule Rufiji, Mchengerwa ndo aliyesaidiana na Jaji Mwanga kuwahukumu akina Mbowe ile kesi ya Akwilina kulipa faini ya mamilioni kumbuka kesi ya akina Msigwa, Mbowe, Esta Bulaya , Esta Matiku ambayo wananchi walichanga fedha kuwatoa jela.
Kama ilivyo ada ukiwa karibu na Viongozi unaingizwa kitengo Mchengerwa naye aliingizwa kitengo na mkwe wake kwa sababu tayari anakua anapata baadhi ya siri za familia ya Makamu wa Rais kupitia mke wake ....so lazima atunze hizo siri za familia ....Kwa wasio fahamu ni kwamba ukitaka kuoa kwenye hizo familia kuna kauchunguzi hufanyika ka unafiki kuhusu kuolewa na kuoa wapi ...hivo utafika mahali nawe utaingizwa humo wakikuona kama wewe ni asset ama kwa maelekezo ama kwa kufuata misingi...
Nadhani inatosha tu Kusema kwamba angekuwepo Magufuli ..Mchengerwa asingepata hivyo vyeo...Maana baada ya mkwe wake kuingia madarakani akamweka kuw waziri moja kwa moja, akaanza na Utumishi wa umma (alifanya vizuri naweza kumpa 80%) zikaja kelele za watu kupotea maana ile wizara inasimamia TAKUKURU NA TISS kiutumishi akamwamishia michezo kwa muda badae akamuashia TAMISEMI Wizara nyeti na kubwa kweli kweli hii yote sio ka maslahi ya Taifa ila kwa maslahi ya familia...Mchengerwa ni mtendaji mzuri na mpiga kelele mzuri pia.
Nadhani jukuma lake kubwa ni kuona Ma Mkwe akibaki madarakani kwa kuwashughulikia wanaomwandama mama mkwe wake iwe kumsema vibaya au kumtukuna...Inasemwa mtaani kuwa ndo mwenye vikosi vya akina Mafwele watu kupotea au kunyamazishwa...Kwa kumrejelea dogo Chaula aliyechoma picha ya Samia, Mdude, ...
Wabunge kama Gambo na Mpina anahakikisha hawarudi bungeni kwa sababu wanasema mama mkwe vibaya...
Kawaida nisingekubali asemwe vibaya lkn pia nisingeenda kinyume na matakwa ya Mwenyezi Mungu.Ok ok olo in olo ungekuwa wewe ungekubali mkweo asemwe hii nazungumzia kibinadamu tu sio nguvu ya utawala?
Basi katika hilo ukilisimamia utalipwa kheli na Allah.tuishi humo.Kawaida nisingekubali asemwe vibaya lkn pia nisingeenda kinyume na matakwa ya Mwenyezi Mungu.
Wewe mtu kasoma mamtoni-nje ya nchi alafu unamdharauElimu ya kuunga unga,kasoma sijui out huko
😁😁Ndio mchague mnamtaka nani Wanu au Nchengerwa au wote wapige Collabo?
Hakuna marefu yasiyo na ncha (hili yeye mwenyewe analijua vizuri tu na Wala halimtishi) hivyo hakuna Cha ajabu hapo katika Dua hili la kuku.Bado kidogo tu itabaki historia
Mchengerwa kabla ya kugombea ubunge alikua Msaidizi wa Jaji katika Mahakama Kuu ...akisaidia jaji kuandika hukumu, baada ya Mama Mkwe kupata Umakamu wa Rais kwa awamu ya Pili akagombea Ubunge kule Rufiji, Mchengerwa ndo aliyesaidiana na Jaji Mwanga kuwahukumu akina Mbowe ile kesi ya Akwilina kulipa faini ya mamilioni kumbuka kesi ya akina Msigwa, Mbowe, Esta Bulaya , Esta Matiku ambayo wananchi walichanga fedha kuwatoa jela.
Kama ilivyo ada ukiwa karibu na Viongozi unaingizwa kitengo Mchengerwa naye aliingizwa kitengo na mkwe wake kwa sababu tayari anakua anapata baadhi ya siri za familia ya Makamu wa Rais kupitia mke wake ....so lazima atunze hizo siri za familia ....Kwa wasio fahamu ni kwamba ukitaka kuoa kwenye hizo familia kuna kauchunguzi hufanyika ka unafiki kuhusu kuolewa na kuoa wapi ...hivo utafika mahali nawe utaingizwa humo wakikuona kama wewe ni asset ama kwa maelekezo ama kwa kufuata misingi...
Nadhani inatosha tu Kusema kwamba angekuwepo Magufuli ..Mchengerwa asingepata hivyo vyeo...Maana baada ya mkwe wake kuingia madarakani akamweka kuw waziri moja kwa moja, akaanza na Utumishi wa umma (alifanya vizuri naweza kumpa 80%) zikaja kelele za watu kupotea maana ile wizara inasimamia TAKUKURU NA TISS kiutumishi akamwamishia michezo kwa muda badae akamuashia TAMISEMI Wizara nyeti na kubwa kweli kweli hii yote sio ka maslahi ya Taifa ila kwa maslahi ya familia...Mchengerwa ni mtendaji mzuri na mpiga kelele mzuri pia.
Nadhani jukuma lake kubwa ni kuona Ma Mkwe akibaki madarakani kwa kuwashughulikia wanaomwandama mama mkwe wake iwe kumsema vibaya au kumtukuna...Inasemwa mtaani kuwa ndo mwenye vikosi vya akina Mafwele watu kupotea au kunyamazishwa...Kwa kumrejelea dogo Chaula aliyechoma picha ya Samia, Mdude, ...
Wabunge kama Gambo na Mpina anahakikisha hawarudi bungeni kwa sababu wanasema mama mkwe vibaya...
Mamtoni wapi?Wewe mtu kasoma mamtoni-nje ya nchi alafu unamdharau
Kwani wewe ulivyoandika out ulitaka kuandika IN ?Mamtoni wapi?