Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,584
- 15,250
Mbn pm atakaa muda mfupi sana
madelu akaunganishe nguvu na kina Katelephone na kina Mpango na Nchimbi ... wafanye jamboAnguko la CCM hili hapa
Hawana hela team Msoga point 3madelu akaunganishe nguvu na kina Katelephone na kina Mpango na Nchimbi ... wafanye jambo
Tena naomba hicho kinachosemwa kitokee haraka sana.Nilisema toka siku ya Uteuzi wa Nchemba...hafiki popote..ni suala la Muda tu..
Waziri Mkuu mwenye kuwekeza kujijenga Kisiasa binafsi na Uchama Tawala badala ya kuunganisha Taifa!!!?? Ni ujuha wa CCM..acha waumane
Ukweli mtupuNdio atakua kwamba umoja wa wahalifu
Hii na mimi imenifanya nicheke sana "BAADA" ya kulia🤣🤔Wakati naenda makumbusho Leo nimekutana na mtu mmoja amvaa baragashia akasema
'Wanamtandao wanatanduana ni mnyukano Kati Yao
Akanidokeza kuwa waziri mkuu ajaye ni Mchengerwa soon as possible.
Aisee nimecheka baada ya kulia
Naona mko kwenye mchakatoWakati naenda makumbusho Leo nimekutana na mtu mmoja amvaa baragashia akasema
'Wanamtandao wanatanduana ni mnyukano Kati Yao
Akanidokeza kuwa waziri mkuu ajaye ni Mchengerwa soon as possible.
Aisee nimecheka baada ya kulia
Kimsingi Mwigulu hana sifa za kuwa Kiongozi,Nilisema toka siku ya Uteuzi wa Nchemba...hafiki popote..ni suala la Muda tu..
Waziri Mkuu mwenye kuwekeza kujijenga Kisiasa binafsi na Uchama Tawala badala ya kuunganisha Taifa!!!?? Ni ujuha wa CCM..acha waumane
Litakuwa jambo jema. Kama John Heche ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema, kwanini Mchengerwa asiwe Waziri Mkuu?Wakati naenda makumbusho Leo nimekutana na mtu mmoja amvaa baragashia akasema
'Wanamtandao wanatanduana ni mnyukano Kati Yao
Akanidokeza kuwa waziri mkuu ajaye ni Mchengerwa soon as possible.
Aisee nimecheka baada ya kulia