Mchengerwa: Huduma kwa mwananchi si hisani, ni haki kwa kuwa amelipa kodi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Akizungumza katika kikao kazi kilichowakutanisha Watendaji Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Afya pamoja na watumishi wa sekta ya afya wa Mkoa wa Dodoma Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa Mohamed Mchengerwa ameeleza kuwa Kutoa huduma kwa wananchi si kitendo cha hisani, ni Haki kwakuwa Mwananchi ni mlipa kodi.

Aah, kumbe! Mimi nilidhani hakunaga haki, kuna amani tu!
 
Back
Top Bottom