dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,907
- 8,246
Aje kwanza na vitendo, maneno kasema sanaHuyu waziri anachapa kazi na anafahamu vizuri matatizo sugu ya wizara yake na jinsi ya kuyatatua. Wafanya kazi tujitokeze popote pale ( Mitandaoni, magazetini, maofisini, bararani, katika sherehe tofauti........) kumpongeza Waziri huyu.
Mohamed Mchengerwa ni moja kati ya viongozi 40% aliowasema Prof Assad kuwa ndio wana uweledi katika nafasi zao. Hongera.