Umeme umekatika nchi nzima. Masaa mawili sasa.
Ningependa tuwe wakali kwenye hii issue kama tulivyokuwa wakali kwenye issue ya 'kukatika' kwa mafuta.
Kwani hawa wamekata umeme baada ya kuambiwa na EWURA washushe bei?. Hebu naomba ufafanuzi bandungu.
Na poleni sana najua hata kujibu itakuwa ngumu kwani computer zitakuwa zimezima labla wale wa majereta.
Bora hao wahindi na waarabu waliogoma kuuza kiwese chao kwa maslahi binafsi! Huu ni uzembe tu na sioni hata ni kwa maslahi ya nani!
maslahi ya chama..epa imegundulika sasa wanatumia mashirika kutafuta hela za kampeni! jus watch!
I bet... Tuone kukicha Bongo watakuja na sababu gani. Mitambo hii inaelekea HAIKWEPEKI kwa wakati huu