Mchemsho wa TANESCO? Nchi nzima haina umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchemsho wa TANESCO? Nchi nzima haina umeme

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Invisible, Jan 19, 2009.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Jan 19, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Umeme umekatika nchi nzima. Masaa mawili sasa.
   
 2. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Poleni sana wandugu
   
 3. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Ningependa tuwe wakali kwenye hii issue kama tulivyokuwa wakali kwenye issue ya 'kukatika' kwa mafuta.
   
 4. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,836
  Likes Received: 1,090
  Trophy Points: 280
  He! bila taarifa?
   
 5. M

  Morani75 JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2009
  Joined: Mar 1, 2007
  Messages: 619
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Invi... upo sawa mkuu manake two hours sasa na huku madongo kuinama kwetu bado kweusi aisee..... Kama ni nchi nzima basi kazi ipo yakhe manake inawezekana ikawa yale ya usiku kucha....... Duh, TANESCO, RIP!
   
 6. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Kwani hawa wamekata umeme baada ya kuambiwa na EWURA washushe bei?. Hebu naomba ufafanuzi bandungu.

  Na poleni sana najua hata kujibu itakuwa ngumu kwani computer zitakuwa zimezima labla wale wa majereta.
   
 7. M

  Mtu wa Kawaida JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2009
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 217
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Poleni sana. Je umesharudi au bado bandugu?
   
 8. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #8
  Jan 19, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Singida umerudi.
   
 9. M

  Morani75 JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2009
  Joined: Mar 1, 2007
  Messages: 619
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu Invi...., duh wameanza na singida.... wanafuata alphabetic order au order ya kukatika.... ha ha haaaaa...... 48 years za uhuru, Mungu Ibariki Tanzania!! Wale wa Arusha watakuwa wa mwisho, ha ha haaaaa.... manake wameanzia kule kwenye "S" then warudi mbele, ha ha haaa!!!
   
 10. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,836
  Likes Received: 1,090
  Trophy Points: 280
  Hivi kwani mfumo wa umeme wa TANESCO upoje? yaani kutoka source za Mtera, Kidatu, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Songas nk umeunganishwa kwenye switch moja? mimi nilidhani kila sorce inasupply maeneo yake na switch zipo tofauti, hivyo kuepusha kukatika nchi nzima kama kunatatizo eitheir kwenye source au switch moja.
   
 11. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Tanesco wanataka ku justify ununuzi wa iptl na dowans....deal hili tusikubaliii...
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  Jan 19, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Kwani Ngeleja bado hajazungumzia mafanikio ya wizara yake?
   
 13. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #13
  Jan 19, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  I bet... Tuone kukicha Bongo watakuja na sababu gani. Mitambo hii inaelekea HAIKWEPEKI kwa wakati huu
   
 14. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #14
  Jan 19, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Bora hao wahindi na waarabu waliogoma kuuza kiwese chao kwa maslahi binafsi! Huu ni uzembe tu na sioni hata ni kwa maslahi ya nani!
   
 15. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #15
  Jan 19, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  maslahi ya chama..epa imegundulika sasa wanatumia mashirika kutafuta hela za kampeni! jus watch!
   
 16. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #16
  Jan 19, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Huko lazima urudi mapema, natumai Singida ndio utakuwa mkoa wa kwanza kabisa katika Tanzania kuiuzia umeme TANESCO. Mambo yao yapo shwari
   
 17. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #17
  Jan 19, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Chama gani? Na kinanufaika vipi umeme ukikatika?
   
 18. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #18
  Jan 19, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Singida inapata umeme toka chanzo gani?

  Ukiachia mbali hiyo mitambo, Kihansi na Kidatu hydro power plants ndio tegemeo kwenye peak hours kama hizi. Hata pale Kidatu au mitambo inapolegalega, Kihansi huwa wanaweza kuhimili at least kuzalisha umeme kupeleka kwenye grid ya Taifa na kuwezesha baadhi ya sehemu ya nchi kupata umeme.

  Vyanzo vyote vya umeme vinapouzalisha, umeme lazima uingie pia kwenye grid ya Taifa ndio uwe supplied kwa wateja.

  Hivyo tatizo linaweza kuwa kwenye grid system in general ndipo nchi nzima ikose umeme (vinginevyo inamaanisha vyanzo vyote vya umeme havifanyi kazi)
  I stand to be corrected.
   
  Last edited by a moderator: Jan 20, 2009
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  Jan 19, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,687
  Likes Received: 82,538
  Trophy Points: 280
  Bongo Tambarare....:(
   
 20. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #20
  Jan 19, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Uongozi wa wizara utatupatia update muda si mrefu hivi... wanasubiri maelezo toka Tanesco.
   
Loading...