Ikumbukwe wiki kadhaa zimepita paliibuka uvumi wa uwepo wa mchele wa plastic hapa nchini unaosadikiwa kutoka nchini china. Lakini baada ya muda TFDA waliibuka na kusema hakuna kitu kama hicho hapa nchini.
Leo hii katika kipindi cha cha "leo tena" watangazaji wamesema huo mchele waliletewa jana na walifinyanga tonge na kuurusha chini na ulikua unadunda kabisa. Na mpaka naandika uzi huu wamesema huo mchele wanao hapo studio.
Chanzo: Clouds Fm
My Take;
TFDA badala ya kukaa ofisini mnapulizwa kiyoyozi kwa nini msikimbie hapo mikocheni kwenye studio za clouds fm mkachukue sample yao mkaipime pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
What about rubber material?is plastic material only which bounces
Yes imeandikwa hivyo kwa sababu aliyepost hiyo video youtube ni mwanadamu kama mm na ww, na uzuri wa youtube wamekupa uhuru wa kupost chochote kiwe fake au original.Naona hii video uliyotuma pia inasoma "chinese making plastic rice"...anyways,kulingana na hali ya kusemwa semwa saana,basi TFDA wajitokeze,wapewe hizo sample zinazosadikika then watoe tamko kwa umma kwamba majibu waliyoyapata yanasemaje ili tujue.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahah hata siku hiyo nilicheka sana yani tatizo wanataka kujadili jambo hata ambalo hawana uelewa nalo...Hzo Redio Za Watangazaj Wa Std7 Na Form4 Failure Znashda Sana. Kwa Mtu Mwenye Ufaham Mdogo Tu Wa Chemistry Hawez Kushupalia K2 Accho Na Utafit Nacho. Kuna Cku Walikuwa Wanajadili Jiko Litakalo Kuwa Linatumia Makaa Ya Mawe Badala Ya Mkaa Wa Kawaida, Yaan Vihoja, Km Mtu Huna K2 Kchwan Bora Kukaa Kmya Kuliko Kutumia Media Kuonyesha Ulivokimbia Shule. Ukihoj Watakwambia Kutangaza Kipaji.
Kwahiyo usipoparaganyika maana yake ni mchele wa plastic?Hebu muungwana tuambie utakua ni Michele wa nini huo!? Maana ule upatikanao kwa mpunga huwa ukiufinyanga na kuutupa chini unaparavganyika wote
Sent using Jamii Forums mobile app
....Mkuu sema tuu waongeze more parameters, lakini elasticity ni one property of the plastic materialsTatizo kipimo kimekuwa too cheap yaani kuudundisha chini ukadunda kama kitenesi ndo kusema ni plastic, kwanini wasijaribu kuuchoma moto km utayeyuka na kuwa ujiuji hapo sawa. Hiyo ya kudundisha chini ni local sana
Hebu rudia tena kusoma comment uliyoiquote, ina majibu yote ya maswali yako!Sio kwamba wana habari bali wana sambaza ulofa na upumbavu kabisa hivi huo utangazaji wa kupotosha mliusomea wapi? kwanini hawakuchua huo mchele na kuupeleka TFDA? Hivi kweli ina hitaji kuwa mwana sayansi kujua kuwa kuna mchele wa plastic? Huu wanaofanya haao watangazi ni ulofa na upumbavu? hivi wameshindwa ku google na kujua tabia za plastic?
Ikumbukwe wiki kadhaa zimepita paliibuka uvumi wa uwepo wa mchele wa plastic hapa nchini unaosadikiwa kutoka nchini china. Lakini baada ya muda TFDA waliibuka na kusema hakuna kitu kama hicho hapa nchini.
Leo hii katika kipindi cha cha "leo tena" watangazaji wamesema huo mchele waliletewa jana na walifinyanga tonge na kuurusha chini na ulikua unadunda kabisa. Na mpaka naandika uzi huu wamesema huo mchele wanao hapo studio.
Chanzo: Clouds Fm
My Take;
TFDA badala ya kukaa ofisini mnapulizwa kiyoyozi kwa nini msikimbie hapo mikocheni kwenye studio za clouds fm mkachukue sample yao mkaipime pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
uliona wapi tonge la wali kudunda kama tenesi ya serena williamsKujua kitu ni plastic au sio plastic ni kudundisha?
Kati ya hao claus wako waliosomea uandishi na utangazajiwa habari za ushilawadu na TFDA waliosomea chakula na dawa ni nani anayeweza kutoa jibu la kisayansi?
Nani aliyewadanganya kuwa kudunda ndio SI unit ya plastic?
msibishe sana,kuna siku dira ya dunia bbc,walitoa habari huko china pana mchicha wa plasticNa
1. Plastic haipikiki ( ukiipika itagandiana kwenye sufuria na kubadilika umbile
2. Plastiki haitafuniki
3. Plastiki haisagiki tumboni na wala haiozi ( ukiula unautoa hivyo hivyo )
4. Plastic haiwezi kuwa na harufu kama ya wali
5. Kwa mtumiaji wa wali wa siku nyingi kama ungekuwepo nchele wa aina hiyo, basi ukiweka mdomoni tuu ungehisi kitu cha ajabu
6. Garama za kuzalisha kitu kama hicho ni kubwa kuliko mchele wa kulimwa
Hakuna ,kitu cha namna hiyo ninyi suseni sisi tunakulaga wali tuu, ninyi suseni mchicha ( eti kidudumtu) sisi tunakulaga na kidudu mwenyewe
Ikumbukwe wiki kadhaa zimepita paliibuka uvumi wa uwepo wa mchele wa plastic hapa nchini unaosadikiwa kutoka nchini china. Lakini baada ya muda TFDA waliibuka na kusema hakuna kitu kama hicho hapa nchini.
Leo hii katika kipindi cha cha "leo tena" watangazaji wamesema huo mchele waliletewa jana na walifinyanga tonge na kuurusha chini na ulikua unadunda kabisa. Na mpaka naandika uzi huu wamesema huo mchele wanao hapo studio.
Chanzo: Clouds Fm
My Take;
TFDA badala ya kukaa ofisini mnapulizwa kiyoyozi kwa nini msikimbie hapo mikocheni kwenye studio za clouds fm mkachukue sample yao mkaipime pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
good,,,,.....mwigine mwenye jibu tofauti na hilo?,,ila Mwanamayu kamaliza maksi zoteUtasambaa.
Mchele WA digitali, sahiv unadunda dunda chiniHebu muungwana tuambie utakua ni Michele wa nini huo!? Maana ule upatikanao kwa mpunga huwa ukiufinyanga na kuutupa chini unaparavganyika wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano mzuri ni SILICONE[gasket maker],hii kitu inahimili joto la hadi 150 degrees ktk engine na bado haiyeyuki,ije kuyeyuka kwa hivi vi moto vyetu vya mkaa?,...na ile unaweza kuitengeneza kwa mviringo vizuri na ikiganda hata ummpe MARIA SHARAPOVA au SERRENA WILLIAMS wanacheza fresh tu,na sio ajabu cku hiyo wakatoka drooKuuchoma moto sio local? Wewe ulifikiria hilo la kuangalia kama unaweza kudunda kabla ya kusikia? Huoni hicho kipimo cha kudunda kinaonesha hata material yaliyotumika yaweza kuwa rubber/ mpira ila watu wanaita tu plastiki na ikawa ni ugunduzi zaidi wa design ya mchele huo? Kwa mchele wa kawaida, tonge la wali likibwagwa chini lazima lisambae na wala sio kudunda. Kwani plastiki zote ziko sawa na zinayeyuka zikichomwa au kuwekwa kwenye joto kali? Kwa taarifa yako kuna teknolojia ya masufuria ambayo yana layer ya plastiki kwa ndani (ya aina yake sio kama plastic bag) na yanapika kwa kutumia joto kali sana na ile plastiki haiyeyuki. Kwenye engines za magari kuna rubber kibao na joto ni kali sana wakati zinafanya kazi lakini haziyeyuki.