Mchele wa plastic; Clouds Fm yaiumbua TFDA

Ukidunda una conclude ni plastic??

Sent using Jamii Forums mobile app
no,hatusemi ni moja kwa moja plastic,pengine watu wamechukulia easy tu kutamka plastic km ambavyo mfuko wowote wa plastic wabongo tunauita RAMBO,kwa nn tusiuite MICHAEL DUDIKOF AU CHACK NORRIS AU JEAN CLAUDE VAN DAMME?,,,,lkn tukiangalia tonge la kitu cha Mbeya au Kahama au cha huku kwetu Magugu hakiwez dunda mkuu,nadhani TFDA wanatakiwa watupe material halisi yaliyotumika siku wakiuona
 
ni kweli unga wa muhogo una kaasili flan hv km cha kudunda kwa mbaaaali,lkn cjui may be waliotest huu wali wanaweza kututofautishia,ila dah,mm inaogopesha mkuu,...
 
Tatizo kipimo kimekuwa too cheap yaani kuudundisha chini ukadunda kama kitenesi ndo kusema ni plastic, kwanini wasijaribu kuuchoma moto km utayeyuka na kuwa ujiuji hapo sawa. Hiyo ya kudundisha chini ni local sana
Aisee... kwa hiyo ule wa Kyela nao ukiudundisha chini unadunda..??!
 
Tatizo la Tanzania ni elimu
Hao watangazaji elimu yao ni ndogo sana
Kwanini wasiombe mchele ambao haujapikwa waupike waone kama hiyo plastic inaweza wekeza mafuta na ikaiva kwenye maji
 
Mkuu kama umeuona peleka sample FTDA uokoe watu wengi.
 
Tatizo kipimo kimekuwa too cheap yaani kuudundisha chini ukadunda kama kitenesi ndo kusema ni plastic, kwanini wasijaribu kuuchoma moto km utayeyuka na kuwa ujiuji hapo sawa. Hiyo ya kudundisha chini ni local sana
Kapike wali wako wa kawaida ufinyange udunde chini uone kama hautosambaa punje moja moja.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rushwa ni mbaya sana,

Vigogo wanapofanya biashara hasa bidhaa kutoka China.

Sasa nimeona hapo Tanzania, mnawaita wachina kuwasaidia kwenye udukuzi yaani, sasa hivi ukiwa hadi chooni na Simu yako wachina watakuwa wanakuona unavyokata gogo na wanawake wanavyoosha papuchino.

Kwa kweli, kazi bado tunayo.
 
Niulize tu maswali machache kwa clouds
1.Huo mchele ukioshwa kwenye maji unatoa maji meupe kama ya mchele halisi?
2.plastiki ikichemshwa kwenye maji, inayeyuka ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndiyo ulivyo utendaji wa selikali ya ccm. Usisahau aliyetangaza kwamba atayakayesema mchele wa plastic akamatwe!.
Mchele wa plastic maana yake ni plastic, ukichoma moto unaungua kama Plastic,Usiwalaumu TFDA, Kama hawajakutana nao hamuwezi kuwalazimisha, kinachotakiwa ni wananchi kushirikiana nao mara tunapoisi kuwepo kwa mchele huo.
 
Soko huria baba.. Ata michepuko ipo though watu wameoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…