Mchele wa plastic; Clouds Fm yaiumbua TFDA

kamanda mbigi

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2017
Posts
1,241
Reaction score
1,546
Ikumbukwe wiki kadhaa zimepita paliibuka uvumi wa uwepo wa mchele wa plastic hapa nchini unaosadikiwa kutoka nchini china. Lakini baada ya muda TFDA waliibuka na kusema hakuna kitu kama hicho hapa nchini.

Leo hii katika kipindi cha cha "leo tena" watangazaji wamesema huo mchele waliletewa jana na walifinyanga tonge na kuurusha chini na ulikua unadunda kabisa. Na mpaka naandika uzi huu wamesema huo mchele wanao hapo studio.

Chanzo: Clouds Fm

My Take;
TFDA badala ya kukaa ofisini mnapulizwa kiyoyozi kwa nini msikimbie hapo mikocheni kwenye studio za clouds fm mkachukue sample yao mkaipime pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kipimo kimekuwa too cheap yaani kuudundisha chini ukadunda kama kitenesi ndo kusema ni plastic, kwanini wasijaribu kuuchoma moto km utayeyuka na kuwa ujiuji hapo sawa. Hiyo ya kudundisha chini ni local sana
 
Sometime nakosa imani kabisa na TFDA hadi nafikiri huenda kuna mlungula wanakula ili kuhatarisha afya zetu, ushahidi unatolewa kabisa wao wanasema hakuna mchele wa plastic, natamani kuwatukana sema ndo hivyo dini yangu hairuhusu, ila wakiendelea upuuzi wao wakusema tunafanya uchunguzi, sijui hakuna mchele wa plastic itabidi nitengue kanuni..........
 
Ikumbukwe wiki kadhaa zimepita paliibuka uvumi wa uwepo wa mchele wa plastic hapa nchini unaosadikiwa kutoka nchini china. Lakini baada ya muda TFDA waliibuka na kusema hakuna kitu kama hicho hapa nchini.

Leo hii katika kipindi cha cha "leo tena" watangazaji wamesema huo mchele waliletewa jana na walifinyanga tonge na kuurusha chini na ulikua unadunda kabisa. Na mpaka naandika uzi huu wamesema huo mchele wanao hapo studio.

Source; Clouds Fm

My Take;
TFDA badala ya kukaa ofisini mnapulizwa kiyoyozi kwa nini msikimbie hapo mikocheni kwenye studio za clouds fm mkachukue sample yao mkaipime pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Clouds ndo maana mnavamiwa na mi binduki, kama mnao kwanini msipeleke sampuli kwa waziri wa afya ili achukue hatua?
 
Hiyo ndiyo ulivyo utendaji wa selikali ya ccm. Usisahau aliyetangaza kwamba atayakayesema mchele wa plastic akamatwe!.
 
Tatizo kipimo kimekuwa too cheap yaani kuudundisha chini ukadunda kama kitenesi ndo kusema ni plastic, kwanini wasijaribu kuuchoma moto km utayeyuka na kuwa ujiuji hapo sawa. Hiyo ya kudundisha chini ni local sana
Hebu muungwana tuambie utakua ni Michele wa nini huo!? Maana ule upatikanao kwa mpunga huwa ukiufinyanga na kuutupa chini unaparavganyika wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikumbukwe wiki kadhaa zimepita paliibuka uvumi wa uwepo wa mchele wa plastic hapa nchini unaosadikiwa kutoka nchini china. Lakini baada ya muda TFDA waliibuka na kusema hakuna kitu kama hicho hapa nchini.

Leo hii katika kipindi cha cha "leo tena" watangazaji wamesema huo mchele waliletewa jana na walifinyanga tonge na kuurusha chini na ulikua unadunda kabisa. Na mpaka naandika uzi huu wamesema huo mchele wanao hapo studio.

Source; Clouds Fm

My Take;
TFDA badala ya kukaa ofisini mnapulizwa kiyoyozi kwa nini msikimbie hapo mikocheni kwenye studio za clouds fm mkachukue sample yao mkaipime pia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama itakuwa ni kweli mchele huo ni plastiki na Mkurugenzi wa TFDA alikataa, naamini atakuwa hatoshi kwa nafasi aliyonayo ajiulize na ajitafakari mwisho achukue hatua.
 
Tatizo kipimo kimekuwa too cheap yaani kuudundisha chini ukadunda kama kitenesi ndo kusema ni plastic, kwanini wasijaribu kuuchoma moto km utayeyuka na kuwa ujiuji hapo sawa. Hiyo ya kudundisha chini ni local sana
Plastic ni product ya hydrocarbons kwahiyo ukiichoma utajua tu. Nahisi hapa sio plastic labda material nyingine lkn pia huenda isiwe salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Clouds ndo maana mnavamiwa na mi binduki, kama mnao kwanini msipeleke sampuli kwa waziri wa afya ili achukue hatua?
Clouds ni chombo cha habari. Kazi yake ni kuhabarisha!

Wizara ya afya ipo kwaajili ya kufuatilia mambo yote yanayohusiana na afya za wananchi.

Kwa maelezo hayo mafupi, nafikiri itakua umeelewa ni nani anatakiwa kuwajibika na kwa namna gani.

Nikutakie siku njema mkuu!

- KANA -
 
Tatizo kipimo kimekuwa too cheap yaani kuudundisha chini ukadunda kama kitenesi ndo kusema ni plastic, kwanini wasijaribu kuuchoma moto km utayeyuka na kuwa ujiuji hapo sawa. Hiyo ya kudundisha chini ni local sana

Chief wewe ulikuwa mbaya kwenye History yaelekea enzi zako!!!
 
Tatizo kipimo kimekuwa too cheap yaani kuudundisha chini ukadunda kama kitenesi ndo kusema ni plastic, kwanini wasijaribu kuuchoma moto km utayeyuka na kuwa ujiuji hapo sawa. Hiyo ya kudundisha chini ni local sana
Kwani ukichukua wali wako uliopika Kwa Mchele safi Wa shambani kwako ukiudundisha utadunda au utasambaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikumbukwe wiki kadhaa zimepita paliibuka uvumi wa uwepo wa mchele wa plastic hapa nchini unaosadikiwa kutoka nchini china. Lakini baada ya muda TFDA waliibuka na kusema hakuna kitu kama hicho hapa nchini.

Leo hii katika kipindi cha cha "leo tena" watangazaji wamesema huo mchele waliletewa jana na walifinyanga tonge na kuurusha chini na ulikua unadunda kabisa. Na mpaka naandika uzi huu wamesema huo mchele wanao hapo studio.

Source; Clouds Fm

My Take;
TFDA badala ya kukaa ofisini mnapulizwa kiyoyozi kwa nini msikimbie hapo mikocheni kwenye studio za clouds fm mkachukue sample yao mkaipime pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mchele upo, hata mayai ya plastiki yapo. Serikali yetu inakuwa na tabia za unafiki sana. Hawakuwa na sababu ya kutofanya uchunguzi. Kuna siku wao wenyewe wataununua tu maana hauko Tandale wala Tandikà, uko kwenye maduka wanayonunua wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom