Unataka kutufundisha na kutulisha uchafu sasa.Sawa mkuu, karibu sana upate mchele mzuri hauna chuya, chenga unaweza pika bila kuchambua au kupepeta..
Nashukuru mkuu, siwezi kubadilika.Mie nilituma pesa na mzigo nilipata labda aja abadilike baadae
(6EG72BRI4S7 Imethibitishwa Tsh38,000.00 imetumwa kwa 255759281088 - JOSEPH XXXXX Tarehe 16/5/19 saa 7:32 PM kwa ada ya Tsh365.00. Salio lako la M-Pesa ni............)
Location uyole, mbeya mjini ndiko ofisi ilikoAsante kwa ufafanuzi
Unajua wengine wanakuwa matapeli
Ntakucheki mkuu
Kwa kuwa umeweka contact hapa nadhani mengine tutawasiliana
Ila SI vibaya ukasema location yako kwa mbeya mjini plant yako iko sehemu ili wengine warike ofisini Asante
Sent from my XT1650 using JamiiForums mobile app
Nikitaka uniambie Mchele ulipo ili niufuate nilipie tu Mchele bila usafiri inakuaje?Wadau nauza mche mzuri super kutoka mbeya...
Pata mchele kuanzia kilo 20 na kuendelea.
Pia napokea tenda ya kusupply maeneo ya jumuiya Kama shule, hotels nk
Bei ya kilo 20 ni 30,000 na usafiri ni 10,000 popote pale
Ukichukua mzigo unaofika Tani usafiri ni 150,000 tu
Mawasiliano 0788643144
Karibu uhudumiwe kifalme.
Mrejesho kutoka kwa baadhi ya wateja wanaojali kutoa feedbacks
Mchele Super wa Mbeya kwa bei rahisi sana
mbeya 1800 mbna huku Dar wanauza hivyo hivyoChangamoto ya Dar ni kupiga mixture. Kama hao jamaa wanatoa mchele usiochanganywa, watakuwa supa. Vvwww.jamiiforums.com
Na hiyo alfu 10 ni ya kuuleta hadi kitaa home napoishi hata kama sio Mbeya? ?Sawa karibu ofisini hapa uyole-mbeya
0788643144
Mkuu nimelipokea, sasa nafanyia kazi ya package kwanza kuanzia kilo 1 then nitafika dar maana ndio soko kuu lilikoIla mkuu ushauri wangu kwann usifungue ofisi hapa dar nadhani biashara itakua murua zaidi na utafikia wateja wengi zaidi
Niko moshi naweza pata?1kg = 1500/=
20kg = 30,000/=
100kg = 150,000/=
1ton = 1,500,000/=
NB. Mchele ni clean na hauchanganywi Kama mnavyofanyiwa dukani/vibandani maarufu kwa mangi.
Ok nalifanyia kaziUtapata kwa arusha express saa 5 usiku