Je, wajua unaweza kusafirisha mzigo wako kutoka China kuja Tanzania kwa bei nafuu mno ndani ya muda mfupi sana

antipas

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
410
416
Kumekuwa na changamoto kubwa mbili kwa watu wanaogiza vitu kwenye mitandao hii nguli ya Kichina
Bei ya mali kuwa rahisi lakini usafiri kuwa bei kubwa.

Wengine njia za kufanya malipo kushindwa hasa pale supplier anapo demand Wechat payment.

Unique aircargo tumekuja kuwasaidia Watanzania wenzetu. Sisi tunasafirisha mizigo kwa njia ya ndege kutoka China Guangzhou mpaka Dar es Salaam na kama uko nje ya Dar tunakutumia mzigo wako.Tunafanya dola 13 kwa kilo.

Ukiwa na kilo nyingi kama 100 na kuendelea bei inashuka mpaka dola 12.5

Bidhaa za vilipukizi kama simu perfume na laptop na battery tunatuma pia kwa bei nafuu mno. Unachotakiwa kufanya ni kuaagiza mzigo wako pale sehem ya location unaweka adress yetu ya China Xiaobei Lujing Road Yueyang B Plaza na mzigo wako utasafirishwa kw bei nafuu kabisa.

Kitu umekiona mtandaoni huwez kukilipia kwa sabab huna wechat payment au Visa and PayPal you found them complicated unatuma tu QR code ya supplier wako tunakusadia kulipa na kumpa delivery adress unasubr mzigo ndani ya sku 7 unaupata.

Ofisi zetu zipo kariakoo Mtaa wa Pemba na Livingstine Binslum Plaza chumba no s15
Na China tupo Xiaobei Lujing Road Yueyang Plaza

piga 0652472486.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hiyo mitaa ya shaobei naikumbuka, nilikuwa nachukua Guangzhou Metro (trani ya underground) kuja kula kwa dada Hadija pale Bongo Lounge.
Nilipokuwa nakaa Sanyuarii nilikuwa napata shida ya chakula
 
Ni jambo jema sana na mtapata wateja wengi ila mtaanza kukimbiwa iwapo mtaanza kusema njoo PM au piga no. hii nikupe maelekezo au bei.
 
Kumekuwa na changamoto kubwa mbili kwa watu wanaogiza vitu kwenye mitandao hii nguli ya Kichina
Bei ya mali kuwa rahisi lakini usafiri kuwa bei kubwa.

Wengine njia za kufanya malipo kushindwa hasa pale supplier anapo demand Wechat payment.

Unique aircargo tumekuja kuwasaidia Watanzania wenzetu. Sisi tunasafirisha mizigo kwa njia ya ndege kutoka China Guangzhou mpaka Dar es Salaam na kama uko nje ya Dar tunakutumia mzigo wako.Tunafanya dola 10 kwa kilo.

Ukiwa na kilo nyingi kama 100 na kuendelea bei inashuka mpaka dola 9.

Bidhaa za vilipukizi kama simu perfume na laptop na battery tunatuma pia kwa bei nafuu mno. Unachotakiwa kufanya ni kuaagiza mzigo wako pale sehem ya location unaweka adress yetu ya China Xiaobei Lujing Road Yueyang B Plaza na mzigo wako utasafirishwa kw bei nafuu kabisa.

Kitu umekiona mtandaoni huwez kukilipia kwa sabab huna wechat payment au Visa and PayPal you found them complicated unatuma tu QR code ya supplier wako tunakusadia kulipa na kumpa delivery adress unasubr mzigo ndani ya sku 7 unaupata.

Ofisi zetu zipo kariakoo Mtaa wa Pemba na Livingstine Binslum Plaza chumba no s15
Na China tupo Xiaobei Lujing Road Yueyang Plaza

piga 0652472486.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Nitakutafuteni, thanks.
 
Kumekuwa na changamoto kubwa mbili kwa watu wanaogiza vitu kwenye mitandao hii nguli ya Kichina
Bei ya mali kuwa rahisi lakini usafiri kuwa bei kubwa.

Wengine njia za kufanya malipo kushindwa hasa pale supplier anapo demand Wechat payment.

Unique aircargo tumekuja kuwasaidia Watanzania wenzetu. Sisi tunasafirisha mizigo kwa njia ya ndege kutoka China Guangzhou mpaka Dar es Salaam na kama uko nje ya Dar tunakutumia mzigo wako.Tunafanya dola 13 kwa kilo.

Ukiwa na kilo nyingi kama 100 na kuendelea bei inashuka mpaka dola 12.5

Bidhaa za vilipukizi kama simu perfume na laptop na battery tunatuma pia kwa bei nafuu mno. Unachotakiwa kufanya ni kuaagiza mzigo wako pale sehem ya location unaweka adress yetu ya China Xiaobei Lujing Road Yueyang B Plaza na mzigo wako utasafirishwa kw bei nafuu kabisa.

Kitu umekiona mtandaoni huwez kukilipia kwa sabab huna wechat payment au Visa and PayPal you found them complicated unatuma tu QR code ya supplier wako tunakusadia kulipa na kumpa delivery adress unasubr mzigo ndani ya sku 7 unaupata.

Ofisi zetu zipo kariakoo Mtaa wa Pemba na Livingstine Binslum Plaza chumba no s15
Na China tupo Xiaobei Lujing Road Yueyang Plaza

piga 0652472486.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Kwa kweli hii ni very useful
 
Back
Top Bottom