Smart mwananchi
Senior Member
- Jul 17, 2014
- 102
- 50
The guy is smart and brilliant..jasiri wa kuchukua maamuzi na ku invent new ideas.
Haya kwa mazuri yote tuliyoyaona aliyofanya mchechu pamoja na kufufua hili shirika je ni faida gani wamepata watu wa hali ya chini hasa wanaotegemea makazi haya ya NHC au tunachekelea tuu haya majengo ya vioo yaliosimama huku mjini bila kujua umiliki wake halali na kodi zake?
Gazeti la serikali legevu ya magamba halijui jina la Mkurugenzi wa shirika la nyumba-shirika la umma...
CCM ndivyo walivyo. Wivu mpaka basi
mnamjua vizuri nehemia mchechu au mnamsikia? msiongelee ushabiki hao wajumbe wa bodi sio mambumbu ni watu na heshima zao
I think this should be a topic here,not the success of Mchechu and list of all buildings we see around.
Mafanikio ya shirika yapimwe kulingana na kulichosemwa na huyu muheshimiwa hapa.
Mchechu mara kadhaa ameomba serikali kuondoa VAT kwenye nyumba zao ili watu wa kipato cha chini nao wamudu kununua nyumba zao kama zile za kigamboni.
Acheni ushabiki wa kijinga! Jiulizeni kwanza maswali ya msingi ? Board hiyo kazi yake ni nini? ni kweli Mchechu amefanya kazi kubwa NHC hatukatai lakini tujiulize mchango wa Shirika hilo kwa maendeleo ya Taifa ni nini! Au ni kuboresha tu mishahara ya watumishi wa Shirika hilo? NHC sasa hivi wanatoza kubwa kodi kubwa za pango kuliko private sector! Mfano katika jengo lao jipya wanalomalizia hapa Musoma kodi ya "fremu" ni kati ya laki tatu hadi laki nne !kwa mzunguko wa biashara gani!? tatizo hapa nchini tumekuwa na ushabiki wa kijinga kwa kila kitu ! na hii ni kutokana ma-graduate wengi wa vyuo vikuu vya kata wasio na kazi mtaani ! Nehemia lazima mwisho wa siku lazima ajue vision ya shirika ni kusaidia Watanzania na si kuwanyonya Watanzania! Amefanya vizuri ku-improve image ya shirika lakini kama ataki kubadilika kuhusu rates anazotoza basi ama aombe tumbinafsishie shirika hili ama Board imfukuze tu aende akafanyie ujasiriamali wake kwingine! CCM kuweni macho na Mchechu mkimchekea na sifa za kijinga mtazikosa kura za wafanyabiashara wengi walioko NHC 2015!

Nehemia Mchechu Kyando mmoja kati ya vijana wazalendo na wachapa kazi. Mti wenye matunda siku zote ndio unaopopolewa mawe. Hongera mkuu kwa kazi nzuri usikatishwe tamaa na wasiopenda maendeleo na mabadiliko.