Mchechu wa NHC aundiwa zengwe

Mchechu wa NHC aundiwa zengwe

Haya kwa mazuri yote tuliyoyaona aliyofanya mchechu pamoja na kufufua hili shirika je ni faida gani wamepata watu wa hali ya chini hasa wanaotegemea makazi haya ya NHC au tunachekelea tuu haya majengo ya vioo yaliosimama huku mjini bila kujua umiliki wake halali na kodi zake?
Mchechu hatakuja kukuchukua akupe nyumba kwa sababu wewe ni mtu wa chini. Unatakiwa upambane na ukazane ili na wewe uwe na uwezo wa kupata hizo nyumba.
 
Back
Top Bottom