Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,980
- 168,494
A witchdoctor in Obamas ancestral village, Kogello, has predicted Obama win. Do you believe his prediction?
He he he nipatie namba yake :becky:
He he he nipatie namba yake :becky:
Na wale mafahali wa ng'ombe aloshinda ni Obama
Aisee Kenya kuna ushabiki
![]()
A witchdoctor in Obamas ancestral village, Kogello, has predicted Obama win. Do you believe his prediction?
wanataka wamuhamishie Tz ili awe anawatabiria hata maswala yasiyo ya lazima "ACG anakuja lini kuhakiki hesabu za halmashauri yangu?"Yaani ccm watakuwa washatafuta namba ya huyu mganga wamsainishe kandarasi ya 2015
Umeona mkuu!Anatabiri baada ya ushindi kupatikana?
Hahaaah!wanataka wamuhamishie Tz ili awe anawatabiria hata maswala yasiyo ya lazima "ACG anakuja lini kuhakiki hesabu za halmashauri yangu?"
Mkuu Wakenya hawajakosea kitu, Obama ni mtoto WAO sina shaka mwaka KESHO atatembelea mkoa wa Nyanza kula KAMONGO na akina OMELA apatiwe Nyadundo mwingine.
Mh mi napita tu......%-)